Jumaa JM.
@Jumaa33971641
Love is weakness, love no one and no one can hurt you.
Haijalishi umekatishwa tamaa mara ngapi, haijalishi ni vipi hawakuamini kwenye kufanikiwa kwako, USIKATE TAMAA mpaka upate lile hitajio la MOYO WAKO...🙌
Bro To Bro Ukidate Na Mwanamke Zaidi Ya Miaka Mitatu Huyo Muoe Tu, Ukienda Kuoa Kwingine Tutaimba Parapanda..!! Na Usimuahidi Mwanamke Kwamba Utamuoa ili Tu Utimize Haja Zako Halafu Umuache, Usije Sema Hukujuaga..!!
🚨 Marcus Rashford: “I don't have anything bad to say about Manchester United”. “I think it's been an important part of my life, I'm grateful... I just wish them all the best and I hope they are successful in the future”.
Habari za asubuhi, kuna ajira ya mauzo ya VODACOM router kwa TANZANIA BARA - DSM,DODOMA,MWANZA,SHINYANGA,LINDI N.K. Mkataba ni wa mwaka mmoja. Mwenye uhitaji na fursa hii naomba atume message kwenye whatsapp, nasisitiza message za whatsapp TU kwa namba 0679828056. Asanteni
🚨💣 🦁 UPDATES ➡️ Jonathan Sowah 🇬🇭 ataripoti Simba Sc 🇹🇿 wikiendi hii kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya. ✅ Kila kitu kimekamilika kuhusu uhamisho wake akitokea Singida Black Stars 🇹🇿 ⏳ Kwasasa anafanya maandalizi ya safari ya kutua DSM kuitumikia timu yake mpya 🔴⚪🦁
Bro Jitahidi uwe unafanya usajiri wa wachezaji damu changa , usisubiri hadi wafike miaka 30 maana wewe sio timu za uarabuni wala marekani 😎 . Soma pole pole ufungue code .
Ni siku ya 4 leo bila kumuona mtoto wetu Feisal Wapendwa mtoto bado hajapatikana nawaomba ku share ujumbe huu 🙏Mtoto bado hajapatikana
Habrini za asubuhi..Mtoto wa mdogo wangu amepotea Toka alhamis alivyoenda shule hajarudi..Anaitwa Feisar,Anasoma shule ya msingi Mzambarauni gongo la mboto.Dar.kwa atakae muona naomba anicheki 0687747579 🙏Naombeni mnisaidie ku share tafadhali RT🙏
Vijana huko Ghana wamepata jiwe kubwa la dhahabu . Tupambane tu tusichoke dhahabu yetu ipo
Uwanja Unaweza Kuonekana Msafi lakini Usijichanganye Kucheza bila kuvaa Soksi. Maamuzi ni yako.
Nakupa hii code ya Mababu🐲 Mwaga mchele na chumvi mlangoni kwako leo usiku,asubuhi kesho zoa changanya na maji kaoge 💐 Kama unafanya biashara utaokota sana Unawaka kama balbu🫵
Every day you must take at least 20 minutes of your time and thank God that you weren’t born in Nigeria 😭😭😭😭
May Allah grant him Aljanatul Firdaus, and may he forgive all his shortcomings.
Mchizi mwenye Tshirt nyeupe ana usela flani wa kizamani! “Mimi mtoto wa TMK” Bro nani anajali unapotokea? Salama Jabir anakuuliza swali na anakwambia kama haupo Comfortable tuachane nalo, inapaswa kuwa hivyo. Kulikuwa na mengi ya kumuuliza Paten kwa mtangazaji aliyejiandaa.
Juzi niliandika uzi kuhusu game ya fainali ya Club World Cup kati ya Chelsea na PSG, nikasema — Chelsea ni moja ya timu ambazo hufanya vizuri zaidi wakati wa mashaka, pale ambapo hakuna mtu anayeipa nafasi hata kidogo. — THREAD:⤵️
Kama umeoa, na mke wako hana mambo mengi.. Na wewe ukaamua kuacha mambo yote ya hovyo (kuchepuka) Kuna amani flani hivi utaipata na utulivu flani hivi kwenye maisha yako. Yawezekana hujui jinsi gani Mungu alivyokutendea Mema.
Kama Utafikiria Kilicho Kuumiza Utaumia Zaidi, Lakini Ukifikiria funzo kwa kile Kilicho Kuumiza Utakua Imara Zaidi.✍️ Good morning, FAM 🤝