SANUKAnaCHAPO
@chapo255
| THE WALKING MEDIA🎶 | Owner @usedpointtz | Ndugu wa BARAKA MAVIATU | DM for paid promotions only |
🏮 Lenovo ThinkPad P14s ▫️Core i7 | 2.3ghz ▫️4 Cores, 8 Threads ▫️10th Generation ▫️RAM 48GB ▫️SSD 1TB (1024GB) ▫️ 2gb nVidia Quadro P520 ▫️Backlight Keyboard ▫️ 14" TOUCHSCREEN ▫️ FHD 📺 🖐Fingerprint 🌝 Face ID ✅ 🔋5hrs Price Tshs. 1,450,000/= ☎️0788106694 @usedpointTz




Unpopular Opinion: Album/EP ya Mbosso imefanya vizuri sababu ya u-WCB au kwa lugha nyengine ametoka WCB sio muda mrefu sana hata ngoma nyingi aliziandika akiwa huko. Kazi zake zinazofata ndiyo zitatoa jibu kamili ya nachosema.

RAV4 OLD MODEL 🔥 🔥 REG" #CKZ ◾️CC. 1990 ◾️FULL AC 🌧 ◾️ENGINE-3S ◾️SPORT RIMS ◾️ALL NEW TYRES ◾️FULL DOCUMENTS ✅️ BEI - 8.9M NIKO NAYO 24HRS CALL - 0719542184
Watu mnaoweza kuangalia movie kwenye simu mnaweza hata kuua mtu.😀
Windhoek & Trigger Episodes 10 Maisha ni Safari...!!! 😊
Ukiwa bar na ukagundua muda umeenda na wife kapiga sana simu. We rudi home hata alfajiri ukiingia ndani jifanye umelewa chakali na tambaa na ukuta hadi chumbani inapunguza makelele. Nishukuru kesho.
Ukiwa bar na ukagundua muda umeenda na wife kapiga sana simu. We rudi home hata alfajiri ukiingia ndani jifanye umelewa chakali na tambaa na ukuta hadi chumbani inapunguza makelele. Nishukuru kesho.
Tonge nyama imetoka usiku mrefu leo kila mitaa nayopita ngoma inaita! Hawa boda wako mbele ya muda sana kwenye taste ya muziki mzuri!
Sukari atanogesha Instaprenyua kesho! Ujiandae kwa kuvunja mbavu maana host wetu wa kesho unajua ucheshi wake. Leo ndo mwisho wa usajili, fanya kujisajili crdb.tz/instaprenyua #crdbbank #instaprenyua2025 #tunakusikiliza
Ya kwenda sana
Huyu Mwana-Yanga mwenzetu anakula Mema ya Nchii.!!😂🙌
Ilikuwa mapema sana kutoa EP
Watu wengi wanayo taarifa juu ya kutoka kwa EP ya DOGO REMA. Hatua ya kwanza katika ufahamikaji wa Msanii imefanikiwa. Kilichobaki ni watu kumsapoti bila kutumia emoj ya kucheka 🚶🏾♂️
Available & Quality Material 🔥 📲whatsapp 0763514126 💰70000 🔗Size 40-45 🧯Delivery tunafanya Tanzania nzima,kwa malipo ya mtej @rollymsouth @McinikaWaLamar @bob_mchelsea @chapo255 @YourFrenchFry @CharlieBihemo @anuskills3 #Ads
𝐓𝐰𝐞𝐧𝐝𝐞 𝐓𝐮𝐤𝐚𝐢𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐞 𝐇𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚 𝐏𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 Ofa ya kibabe Pata punguzo la 30% kwenye tiketi yako ya kuhudhuria Mkutano wa Africa Bitcoin Conference Diaspora Edition utakaofanyika Boston 15th August 2025 Jiunge na wabunifu, wavumbuzi na viongozi wakuu huku…
Anguko la wasanii wengi wa Bongo ni kutaka kushindana na Diamond. Muziki upo na njia nyingi za kuifikia keki kubwa. Msanii kama Jux alichagua njia yake na leo analipwa $40,000-50,000 pesa ambayo ukiachana na Mondi hakuna anaelipwa nje pesa hiyo kwasasa.

Ram ni 48 GBs? This must be a monster 🔥🔥
🏮 Lenovo ThinkPad P14s ▫️Core i7 | 2.3ghz ▫️4 Cores, 8 Threads ▫️10th Generation ▫️RAM 48GB ▫️SSD 1TB (1024GB) ▫️ 2gb nVidia Quadro P520 ▫️Backlight Keyboard ▫️ 14" TOUCHSCREEN ▫️ FHD 📺 🖐Fingerprint Reader 🌝 Face ID ✅ ▫️🔋5hrs Price Tshs. 1,450,000/= ☎️0788106694
🏮 Lenovo ThinkPad P14s ▫️Core i7 | 2.3ghz ▫️4 Cores, 8 Threads ▫️10th Generation ▫️RAM 48GB ▫️SSD 1TB (1024GB) ▫️ 2gb nVidia Quadro P520 ▫️Backlight Keyboard ▫️ 14" TOUCHSCREEN ▫️ FHD 📺 🖐Fingerprint Reader 🌝 Face ID ✅ ▫️🔋5hrs Price Tshs. 1,450,000/= ☎️0788106694
😂😂😂
TRA Yatoa Mwezi Mmoja Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Wafanyabiashara mitandaoni wametakiwa kujisajili TRA ili kuweza kulipa kodi stahiki kama inavyohitajika kisheria. Baadhi ya baishara hizo ni kama biashara za upangishaji nyumba kwa muda maarufu kama Airbnb, au wale…
Tumeanza kufanya review ya Electronic gadgets tulizonazo shop, kwa video zaidi tufollow Instagram:iphonestz Tiktok:iphonestz
“There’s a lot of beauty in ordinary things. Isn’t that kind of the point?”
What’s your favorite quote from The Office?
Muna hana baya, madogo wengi mjini kawalea sana!
Miaka inaenda sana 😂😂😂😂 Yani Muna Love kumbe anamtoto na Platform 🥱 Video kwa Comments 👇