KING ASSENGA
@AssengaPN
Mwanaharakati wa haki. 📌 📌student Open University of Tanzania 📌 Enterpreneur and real fighter 📌From chagga land Kilimanjaro
BAADA YA REFORMS NITAGOMBEA JIMBO LA ROMBO MKOANI KILIMANJARO Ninaona kabisa ninatosha kuingia kwenye kinyanganyiro hicho kukiwa na uchaguzi ulio huru nawa haki. Na mapema kabisa Jimbo litarudi kwenye mikono salama ya chama chetu . ( CHADEMA). Ninakiunga mkono chama…

Usipime mafanikio yako kwa kujilinganisha na wengine. Kila mtu ana safari yake. Jikaze kufikia malengo yako kwa bidii na uaminifu, maana ushindi wa kweli ni kujipindua wewe mwenyewe.
Kuna jirani yangu kabla hajaoa kila siku saa 12 asubuhi alikuwa akiamka anawasha SABUFA lake kwa sauti kubwa saana mpaka sometimes akawa anakera majirani zake Miezi kadhaa sasa tangu ameoa ameacha kabisa ile tabia yake, nadhani amegundua kuwa RADIO mbili haziwezi sikilizana.
Tumefika kituo Cha Polisi Sumbawanga Mjini na kuonana na waliowakamata Jana, Jumla ya watu zaidi ya 20 wapo kituoni huku wengine 3 wamelazwa Chumba ICU Hospitali ya Mkoa na Hali zao ni mbaya sana na Kuna baadhi ya Wanachama hawajulikani walipo Tuwaombee. Mkt (J) Sumbawanga Mjini
GM fam🖤 Bible verse for the day Micah 7:7 "But me , I'm not giving up. I'm sticking around to see what God will do. I'm waiting for God to make things write. I'm counting on God to listen to me." What about you? 🫵🏼 Happy Sunday y'all 💖
Huyo Mpenzi Wako Muongo Muongo kama Mwanasiasa Vipi Amekutafuta.
Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic. Vatican wana jeshi lao special linaitwa Swiss Guards Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza…
Baba yangu amepatikana salama, ingawaje sim yake inashikiliwa kwa uchunguzi. Mtu kukamatwa kwa namna hii ni UTEKAJI kupatikana kwake ktk nchi hii ni bahati kwa kwl, sidhani kama kuna yeyeote anaweza kudhani yupo salama. Hata ambae hapigi kelele kukemea UTEKAJI na yeye atatekwa tu
😭😭Baba yangu ametekwa na watu waliojitambulisha kama TAKUKURU, Wamemkamata njian akilekea hospital ambapo namuuguza mdg wangu hapa. Inanilazim kumuacha mdg wangu hapa kufatilia swala hili. Hu sio utaratibu.
Hata uhangaike vipi na vikaragosi vyako @SuluhuSamia huwezi kuzima nyota yake @TunduALissu Hatma yake na njia aliyopangiwa na Mwenyezi Mungu ni ngumu ila USHINDI ni mkubwa #FreeTunduLissu #FreeTunduLissuNow T U N D U L I S S U 🔥 7th President of UR Tanzania 🇹🇿
Ndugu zangu ukifa ukiwa CCM Haina tofauti na kufia kwenye Danguro 📌

UCHAGUZI UNAZUIWA KUANZIA NYUMBANI. ✌️ Mimi nitakuwa chachu ya ndugu zangu familia yangu, marafiki zangu wafanyakazi wenzangu , wafanyakazi wangu na wote waliokaribu nami ninaokutana nao kutoshiriki kwenye uchaguzi piga hesabu ni watu wangapi unaoweza kuwafanya wasishiriki…

Sifa ya kuitwa “Takataka” linawafaa hawa waliopanga kubadili Katiba AFTER THE FACT kupitia mtandao kwa kuita mkutano mkuu wa nchi nzima digitally wakati wamekuwa bize kuzima mitandao 🚮 TAKATAKA kabisa! Mmekosa sifa ya kuitwa waheshimiwa au wanasiasa, mmegeuka kuwa wahuni Na…
WAMEANZA NA KATIBA YA CCM . Tusipokuwa makini 2030 katiba ya Nchi itabadilishwa kuongeza muda wa kuwa kwake madarakani. Msipoziba ufa mtajenga ukuta

Wajumbe wamegoma mkutano wa ONLINE. Wajumbe hawana BANDO 🫵🤣 Ndiomaana dikteta leo kashindwa kuhutubia siku ya mashujaa kichwa kinavitu vingi.🤣🤣🤣 ACHA YAUWANE. TUTAKUWEPO🫵😎