Mfaume | Fikra Chanya.
@mfaacomini
🧠 Nukuu za Maisha & Fikra Chanya 🚀Self-mastery | Kujijenga Kisaikolojia 📚 eBook: Link kwenye bio 🔥 DM kwa ushauri — 1000+ wameshajifunza
Chelewa ukiwa na lengo bora kuliko kukimbia bila mwelekeo mafanikio si mbio ni mwendo wa uhakika na maamuzi sahihi.✍️
Maamuzi ya leo ni matokeo ya kesho, amua vyema upate mema: japo kukosea ni njia ya kujifunza pia. Good morning, FAM 🤝
Ni jambo la kusikitisha kwamba watu wengine hawajali kusikia upande wako wa ukweli, kwa sababu walichosikia kutoka kwa wengine tayari kinawapa sababu ya kukuona kwa mtazamo walioupenda.✍️ Good morning,FAM 🤝
Unapolitaka jambo kwa dhati, pigania. Usikate tamaa hata kama kila kitu kinaonekana kuwa hakina matumaini. Na pale utakapoanza kupoteza imani, jiulize: ‘Miaka 10 kutoka sasa, nitajuta kwamba sikujaribu mara moja tena?.✍️ Good morning, FAM 🤝
"Sisi sote ni watenda dhambi kwa namna yetu. Tunachagua dhambi ambazo tunajihisi huru kuzifanya, kisha tunawahukumu waliotenda zile ambazo sisi hatuzikubali.✍️ Good morning, FAM 🤝
Kitu kinachoumiza zaidi siyo kutoeleweka, ni kueleweka vibaya na wale uliowapigania sana. Sio kila mtu atakuelewa, hata kama utamgusa kwa upendo.✍️ Good morning, FAM 🤝
Dunia haitakupenda kwa kuwa mkweli. Mara nyingi, ukweli huumiza, na wengi hupenda uongo mzuri kuliko ukweli mchungu. Lakini kuwa mkweli bado ni ushindi wa ndani.✍️ Good morning,FAM 🤝
Usijitoe kupita kiasi kwa watu wasioona thamani yako. Maji hayamiminwi kwenye kikombe kilichopasuka. Toa kwa busara, jitoe kwa wanaojali.✍️ Good morning, FAM 🤝
Usipoteze utu wako kwa ajili ya nafasi — nafasi huja na kuondoka, lakini utu unakujenga au kukubomoa.✍️ Good morning, FAM 🤝
Mambo mengine si ya kueleza, ni ya kuishi. Acha kuhalalisha kila uamuzi wako. Fanya, kaa kimya, endelea mbele.✍️ Good morning, FAM 🤝
Acha kuwasihi watu waingie katika maisha yako — mlango wa heshima hauvutwi, unafunguliwa. Good morning, FAM 🤝
Ukweli hauna marafiki wengi. Lakini ukiwa upande wake, huna hofu ya kuanguka.✍️ Good morning, FAM 🤝
Haijalishi ulianza wapi — cha muhimu ni usiishie pale ulipoanza. Mwanzo wako sio hatima yako.✍️ Good morning, FAM 🤝
Ukitoka kwenye maisha yao, wataendelea kama hujawahi kuwepo. Usijifanye muhimu kwa mtu asiyeona thamani yako. Kujithamini ni hatua ya kwanza ya uponyaji.✍️ Good morning, FAM 🤝
Hakuna fursa uliyokosa — kila ulichokosa hakikuwa chako.✍️ Good morning, FAM 🤝
Mafanikio hayaji kwa maombi pekee — yanahitaji nidhamu. Hata dua huhitaji juhudi. Simama, fanya kazi, rudia, fanya tena, kisha omba ukiwa umechoka.✍️ Good morning, FAM 🤝
Unaona mtu hakutafuti kama ilivyo kuwa zamani badala umtafute na wewe unaamua kumvimbia kumbe mwenzio amesha fariki tayari.✍️ Good morning, FAM 🤝
Kupoteza mama ni maumivu makubwa zaidi katika maisha haya. Kama mama yako bado yuko hai, na aishi kwa muda mrefu ili ashuhudie mafanikio yako.✍️ Good morning, FAM 🤝
Wanakuja na Kuondoka katika Maisha yetu Hivyo usichukue jukumu kubwa la kulazimisha Watu wabaki kwenye Maisha yako.✍️ Good morning, FAM 🤝
Adui wa kwanza wa maisha yako ni mdomo wako, jifunze kunyamanza. Dunia ya sasa haitaki watu waongeaji hata kama unaongea ukweli utaonekana adui. Jifunze kukaa kimya.✍️ Good morning,FAM 🤝
Kesho unaweza kushangiliwa na watu wale wale ambao waliokuzomea jana ni suala la muda tu.✍️ Good morning,FAM 🤝