FELIX JASON
@Iamfelixtz
|| Transfer Expert || Njombe Finest π₯ πΉπΏ
Uwezo wako ni mkubwa kuliko changamoto zako. Fanya mambo kwa upendo na utaona matokeo mazuri.


π¨ π£ UPDATES π β‘οΈ Video Analyst, Mpho MarupingπΏπ¦ ataondoka Young Africans πΉπΏ baada ya kuitumikia klabu hiyo tangu Disemba 2023 Maruping tayari amewataarifu Yanga kuwa hatoendelea nao. β³ Maruping yupo kwenye mazungumzo na CR Belouizdad π©πΏ inayonolewa na Sead Ramovic π©πͺ


OFFICIAL & CONFIRMED β‘οΈ Addis Worku raia wa Ethiopia πͺπΉ ndiye kocha Msaidizi wa Azam Fc πΉπΏ kwa Mkataba wa mwaka mmoja akitokea Al Hilal πΈπ© β‘οΈ Worku pia ni Video Analyst ambaye aliwahi kufanya kazi katika timu ya Taifa ya Zambia πΏπ² na Uganda πΊπ¬ chini ya kocha Micho SredojeviΔ


π¨π£ π¦ UPDATES π β‘οΈ Winga Saleh Karabaka (24) amerejea Simba Sc baada ya kumalizika kwa muda wake wa mkopo ndani ya Namungo Fc. Karabaka alijiunga na Simba Januari, 2024 kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea JKU ya Zanzibar. β³ Simba wataamua hatma yake.


π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Beki wa kulia Israel Mwenda πΉπΏ ataendelea kusalia Young Africans hadi 2028. β Three - yeal deal signed βοΈ β It's all Done & Sealed π

πΈ Clatous Chama πΏπ² ndani ya Zesco Utd hii leo.
π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Clatous Chama πΏπ² anaendelea na mazoezi akiwa na Zesco Utd kwaajili ya maandalizi yake ya msimu mpya. Leo amecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mines United. β Hajasaini mkataba na Zesco But Zesco Utd na Singida Black Stars zote zinazungumza nae.
π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Clatous Chama πΏπ² anaendelea na mazoezi akiwa na Zesco Utd kwaajili ya maandalizi yake ya msimu mpya. Leo amecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mines United. β Hajasaini mkataba na Zesco But Zesco Utd na Singida Black Stars zote zinazungumza nae.


π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Mbeya City Fc imekamilisha usajili wa kiungo wa kati Omary Chibada kutoka Kagera Sugar. Chibada aliwahi pia kupita Yanga, Polisi Tanzania, Biashara Utd na Pamba Jiji β It's all Done & Sealed π π£βͺπ‘


π¨ UPDATES π β‘οΈ Kocha Mkuu wa Azam Fc πΉπΏ Florent Ibenge π¨π© anawasili leo Jumamosi kwaajili ya kuanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi hicho. β Wachezaji wa Azam wataingia kambini keshokutwa Jumatatu Julai 28 kwaajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa 2025-26.


β It's not about Players . β It's all about New Main Sponsor

π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Mkataba wa Kiungo Yahya Zayd na Azam unamalizika Januari 2026. Imebakia Miezi mitano kabla ya kumalizika. Kwa mujibu wa vyanzo vyangu, Simba bado haijatuma ofa rasmi Azam Fc. β³ Let's wait and see kama watatuma.


π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Pamba Jiji πΉπΏ ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki Faria Ondongoπ¨π¬ β Some documents already signed Mkataba wake na Singida BS umevunjika kwa makubaliano ya pande zote mbili β‘οΈ Msimu uliomalizika alikuwa anaitumikia Tabora Utd kwa mkopo


OFFICIAL & CONFIRMED β Mshambuliaji Ismail Mgunda πΉπΏ amerejea Mashujaa Fc akitokea As Vita Club π¨π©
π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Mashujaa Fc imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Ismail Mgunda πΉπΏ mara baada ya kuachana na As Vita Club π¨π© Mgunda amerejea Mashujaa kwa mara nyingine. β It's all Done & Sealed π π¦
β Official & Confirmed Lassine Kouma (21) π¬π³ ni Mali ya Young Africans πΉπΏ. #TransferUpdates


π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Mashujaa Fc imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Ismail Mgunda πΉπΏ mara baada ya kuachana na As Vita Club π¨π© Mgunda amerejea Mashujaa kwa mara nyingine. β It's all Done & Sealed π π¦


π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Klabu ya Simba Sc imekamilisha usajili wa kiungo Charles Daud Semfuko πΉπΏ kutoka Coastal Union. β Long term - contract signed. β It's all Done & Sealed π


Wachezaji walioondoka JKT Tanzania β Sixtus Sabilo β Ismail Aziz Kader β Matheo Anthony β George Wawa β Ismail Saleh β Siraji Juma β Martin Kigi


β Official & Confirmed Beki wa kati, Ibrahim Ame amejiunga na Mbeya City kama mchezaji huru baada ya kuachana na Mashujaa Fc. β Usajili wa kwanza kwa Mbeya City π£ βͺ π‘


π¨π£π UPDATES π β‘οΈ As I reported, Priority ya Nickson Kibabage πΉπΏ ni Singida Black Stars endapo watafikia makubaliano ya pande zote tatu kuhusu kuondoka kwake Young Africans. Positive talks underway. β‘οΈ Kibabage is ready to work with Miguel Gamondi π¦π·


π¨π£ UPDATES π β‘οΈ Simba Sc πΉπΏ imefikia makubaliano na Mamelodi Sundowns πΏπ¦ juu ya uhamisho wa kiungo Mshambuliaji Neon Maema (29) kwa mkopo wa msimu mmoja. β Maema atajiunga na Simba baada ya michuano ya CHAN. β Thapelo Maseko, hakuna dili. β It's all Done & Sealed π

