The mandevu
@ze_mandevu
|| Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||
Mwaka huu wa SIASA kama tungekuwa na uhuru wa vyombo vya habari hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi tungeshuhudia MAHOJIANO MAKALI SANA kwenye media zetu kupitia hawa jamaa. Rejea uchaguzi wa CHADEMA january jinsi vyombo vya habari vilivyokuwa huru kuhoji makundi mbali mbali ya…
Ila watu, eti hii ndiyo maana halisi ya "window shopping".!!😂

Hizi bus 194 zilikuja kwa kazi gani kama mikutano inafanyika ONLINE?🫵🏾😂
Wakuu wananitishia DM nisipo Post watafanya msimu ujao uwe wa shida, tuwa Support ka Space kao 👇🏿ni leo saa mbili usikose.
Aliyebuni ile PROJECT ya MSAMVU anatakiwa apewe KESI ya kujibu mana ndo kwanza KIMEZINDULIWA juzi tu. Kwahyo hiki kituo KIPYA kikijengwa MSAMVU inakuwa YUZILESIIIII 🙆🏿🙆🏿💔💔
Bado kidogo tutasikia watu mnaotumia Samsung na IPhone inatakiwa mkajisajiri TRA muanze kulipia mapato.😂

Hizi zinafunguka kwenye magoti na kuwa kama pensi, Wanangu wa nguvu naombeni repost zenu hapa.🫡

Huyu kijana mdogo ametekwa na kupotezwa Soka alijua na akasema na bado serikali ya Rais @SuluhuSamia ikapuuza na leo Soka hayupo. Sio kweli kwamba tutanyamaza kwasababu ya kutekwa na kupotezwa, kelele itazidi kuwa kubwa. Iko siku wote mnaofanya haya mtasema mbele ya Watanzania…
Ukweli ambao nitauweka wazi mbele ya Mungu & marafiki zangu wa harakati, viongozi wenzangu, Ndugu, jamaa & marafiki pamoja na watu wote Dunia Nzima, kwa taarifa nilizopata Kuna mpango wa kunidhuru & Kunipoteza kabisa Duniani. Wamekwisha kuanza hatua ya kwanza ambayo ni 👇
Mood yangu ya sasa inataka nisikilize hizi ngoma , wewe mood yako ya sasa inakutaka ufanye nini?🤔

Kumbe Masoud Kipanya kafungiwa kutangaza au kufanya kazi ya uandishi wa Habari, kosa lake ni nini?🤔

Walianza kuwaambia wananchi mwendokasi mpya utakuja MACHI. Machi ikafika wakaingia mitini. Wakaja kuwapanga wananchi mwendokasi mpya unakuja MEI, mei ikafika ikaisha wakaingia MITINI. Wakaja na story za kwamba mwendokasi mpya utaingia JULAI, julai hii hapa na inaenda kuisha…
Muundo wa hii Cargo chini huwa ni unyama sana, tazama video uone🫡