legendary
@legendary_gend
Do not be afraid', i am the first and the last. I am he who lives , and was dead and be hold , I am alive forevermore. 📌
💥"Ee BWANA, usikie kuomba kwangu, kilio changu kikufikie. usinifiche uso wako siku ya shida yangu, unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi." AMEN 🙏
Wanawake wa dar ndo walioanzisha kulishana keki kwa mdomo kwa mdomo Ili jiji lina wanawake wa ajabu sana
ukimaliza 😂chuo baada ya mwezi mmja sendo zinaanza kuharibika,unaanza kukosa hela za vocha😁mara simu inaharibika finalist hi🤣nacheka kama mazuri ANYWAY WAKUUU MJEE KUCHUKUA SIMU SHOP🔥
Nakumbuka kuna mwaka nilisepaga home kwa kiburi kwenda kutafuta maisha...Nikaenda kupiga Kibega ya Cement ..oya niseme tu wahuni tunapata pesa kwa tabu.😂😂😂🙌💔
Leo tuwe seriously..Ni biashara gani unaweza fanya kwa mtaji wa 1M ikakuingizia faida ya 500k au zaidi kwa kila mwezi...??usijibu kwa mashaka🙏🙏
Watu wengi hawataki kusikia haya lakini wirtz sio bora kuliko xavi simons.
Vijana Wa Dar Huwaambii Kitu Kuhusu Kukaa Kwa Mashemeji zao.😂
Nipo hapa kuthibitisha Jonathan sowah ni free agent kuelekea simba ✍️ Simba hawajatoa hata shilling kwake
Liverpool waache ubahiri sasa aise wameshachukua £75m kutoka kwa Luis Diaz kuongezea £25m tu wamchukue mtaalamu wa kibrazil pale Real Madrid ina ugumu gani?
Ukomavu wa akili ni kutambua kuwa kuwa Prime Rodri na Prime Casemiro bado hawawezi fikia uwezo wa Ngolo Kante.🙌
How come mshambuliaji wako bora unamtoa bure wakati we ulitoa mamilioni ya pesa tena unampa mtu unaye battle nae kwenye makombe yote ya ndani na kibaya zaidi unashiriki CCC na unahitaji Quality and Experience players? Michezo michezo hiyo 😂
Hello hello dears! Karibu ujipatie unga lishe wenye ladha nzuri na harufu nzuri. Unga huu anakunywa mtu yeyote wa rika Lolote 1package unaipata kwa sh 8000 Delivery tunafanya kwa uaminifu mkubwa sana ndani ya dar na nje dar pia ☎️📞: 0744522001 Plz RT🥹🙏
Naomba Repost 🙏 Royalty modern furniture ni watengenezaji furniture zote Kwa meter square 🪑Mbao zake ni Mdf kutoka uturuki 💰Bei zetu ni nafuu 📍Tunapatikana Mbezi-Jogoo 🛻Huduma zinatolewa na mikoani pia 📞Call : 0683652764 📲Whatsapp:wa.me/+255683652764
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei jezi ya sasa 27,000/= 👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255623346245 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA