ROSALINE🦋
@AmRosalinee
I L I V E🥀
Bila kunifokea wala kunigombeza mnieleweshe kwa upole😔😔 Inakuaje ni sawa mwanaume kuoa wanawake zaidi ya wa wili ila sio sawa mwanamke kuolewa na wanaume wa wili ad watatu....???🙄
Real Talk..Hivi inakuaje MWANAUME unamkimbia manzi yako aliejifungua Hospitali? Yani unaenda nae kabisa na CCTV inakuona hadi anavyopelekwa OR kufanyiwa C-section then unakacha! Yule manzi hana nguo wala chakula, anafanya kupewa na Raia wa pale. Alafu kajifungua mtoto wakiume.
Wazee wakuzinesa Nikianza kusukuma reli za mboga mboga mtaengag😂😂???

Funguo ikifungua kila kufuri inaitwa Master Key lakini kufuri likifungulia na kila funguo halifai linabadirishwa🤣
Bila kunifokea wala kunigombeza mnieleweshe kwa upole😔😔 Inakuaje ni sawa mwanaume kuoa wanawake zaidi ya wa wili ila sio sawa mwanamke kuolewa na wanaume wa wili ad watatu....???🙄
Watu wangekuwa na Tabia ya kudadisi asili/nature na kujua maana zake kazi na kwanini ipo hivyo hili swali lisingekuwa linaulizwa anyway MENOPAUSE ndio jibu la swali hili.
Bila kunifokea wala kunigombeza mnieleweshe kwa upole😔😔 Inakuaje ni sawa mwanaume kuoa wanawake zaidi ya wa wili ila sio sawa mwanamke kuolewa na wanaume wa wili ad watatu....???🙄
Maadui zangu wanadhani nateseka na ni ukweli nateseka bana😭😂😂😂💔
Ex ashawai nitext eti kumeet mimi kuenda akaniambia nakuaga kcheap
May we never finish building account, only to lose it by suspension 😭🙏
When you no longer need validation kutoka kwa watu is when unapata peace.
Very nais hapa Eldoret tumesalimia goon mmoja. Niko namwambia aseme 'bruuuum' ama nirushe teke
"oooh woow just wooow unbelievable" umebadili lugha azam tv English-kiswahili 😂😂😂🚮
Ambae yupo tayari kutaka kuzinesa aseme tukatoe utangulizi
Anko zangu "Kwa Hali ya hapa Leo dodoma Embu fanya Kama Huna mjulia Hali mpenzi Wako mpigiee simu now