Mchizi chizi kichizi
@mchizidamas
i never fake care to any one what i give. I give from my heart❤️🌴
THE LAST GLASS OF RED WINE: Thread ✍🏻Ukiwauliza swali rahisi juu ya nani beki bora wa mpira basi pale Simba watakuja na orodha ndefu mithiri ya treni la Kigoma humo ndani watampa seat Masatu, Owino na wengine walioishi zama za Leodigar Tenga kwanza wahurumie kisha watizame👇🏾


Niwe mkweli tu Kuna wasanii Kibongo kwa kulinda heshima zao kipindi hiki walipaswa wafanye mambo mengine ila yasiwe ya Music kama Ney wa Mitego.
💥Huyu binti kaingia geto kakuta hakuna kitu cha dhamani namiliki zaidi ya njumu,,😂 Ameanza kuwa na mashaka na future yangu,,😂😂😂
Good morning familia...💪💪💪💪 Asanteni sana kwa wish zenu wakuu japo nimekula magimbi kama cake ila nimefurahia kwa wish zenu tu upendo bado upo Duniani🫶🫶🫡🫡🫡
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa... Happy birthday to me..🎉🎉🎉🫶🫶
Good morning wapendwa WHITE DINNER SET KAMA ILIVYO PICHANI TSH 50,000 0755 693 113 📍 DUKA LIPO UBUNGO EXTERNAL, MIKOA YOTE TUNATUMA @Sativa255 @MiriamMkanaka
ZIPO DUKANI TSH 55,000 UNAKUA UNASAGA JUICE YAKO FRESH NYUMBANI😋 0755693113 📍 UBUNGO EXTERNAL
WAJANJA WOTE WAPO HUKU WEWE!!. Wezesha laini yako ya #YAS kupata MENU ya "Kinara Plus"yenye vifurushi vya bei chee. Watu wa kinara plus code yetu ni moja tu *148*44# then unajipima tu kifurushi unachokitaka ➤WhatsApp or call ☎️: 0676028686
Majukumu ndio yanatufanya tunakua na sio umri. Good morning..... 🌄🌄
Nimejaribu kuandika tweet ya BUSARA na HEKIMA nyingi. Kichwa kimeniuma kinoma, Haya mambo sio ya kila mtu aisee 🙌🏽 Muda wa kuchanganyikiwa ufike tuu 😅
Karibu Maasai Herbal Clinic – Kituo cha tiba asilia kinachoaminika kwa matibabu salama, bila kemikali, na yenye matokeo ya kudumu. Unakabiliwa na changamoto kama: ❌ Nguvu za kiume kushuka ❌ Uume kulegea au kutosimama ❌ Mbegu chache au dhaifu ❌ Kushindwa kurudia tendo ❌…
Leo nimepoa tu geto nakula ngoma🎧shusha ngoma kali nisikilize asubuhii hii👇
Ee Mungu wangu nimekutafuta mapema nafsi yangu inakuonea kiu Good morning chosen people