Jane
@jayii22
Nmekaa hapa TTG muda huh nmemkumba jamaa alienyewa geto na Bambi , hivi wanawake wanawazaga nini mpaka kunya na kupaka mavi ukutani😁😆
…kuna research imefanywa na bankers inaonesha kuanzia ijumaa mpaka jumapili, wanaume wengi wana withdraw pesa bank alafu Jumatatu wadada wengi wanadeposit pesa bank. Au wadada ni landlords wakuu?😂…
Nimepoteza vingi kiasi kwamba Kuna muda Sina uwoga tena wa kupoteza.Ninachoamini kilichopangwa kuwa changu kitakua changu!!
Haya yote huwa yanaonekana ukituliza akili, kuna Red flags mwanaume ukizi ignore ujue unaenda kutengeneza matatizo ambayo gharama yake sio rahisi kuilipa💔💯. Sio kila mwanamke ni mke🙌✍.
Hii eastafricatv iliwafanyaje mbona huwa ham repost kama media zingine nauliza tu kwa wema mimi ni joined 2022, sijui lolote.
Kuoa Mwanamke anaekunywa pombe au urudi shule ya msingi...??🤔 Mimi 👇👇
Mkiachana kuna ulazima wa kuchukua simu uliyokuwa umemnunulia dem wako?
Uyole Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Siku Ukifa Hatuombolezi Tunakula Na Kunywa.
Watu wana TV hadi jikoni, alafu kuna wewe huna hata inch 20😄💔.....
…A good Cop 👮♀️, is a Bad 👮♀️ Cop. Ukiangalia sana hizi crime and narcotic movies utaelewa vizuri huu msemo.😅…
Pesa inaleta furaha kama uliitafuta bila kutoa kafara binadamu mwenzio, bila kuua, kudhurumu, kutapeli na kunyanganya. Hakuna anayepata amani akiwa amepata kwa kuwafanyia wengine mabaya
Kutokula mchana ni uvivu tu wa kujiongeza, Si mnaona mimi nimesonga Ugali na uji ndio mboga hapa🤒💔.
Balloons 🎈 on my TL, Kumbe today is my birthday. 35 years of age today 🙏. Thanks God. My virgin woman is still waiting for me, happy birthday to me Virgin Police and hunter
Kituunguu maji ,maji yake yakikurukia machoni kinakuwasha ila ukitafuna hakiwashi uchawi upo 😅😅😅😅