Tazama
@tazamaMbali
Mjasiriamali | Mme | Baba | Fikra huru |
Kuteka soko kunahitaji mbinu. Tumia mbinu hizi 3 kuteka soko kama mfanyabiashara mdogo; 1. Toa huduma bora hadi wateja wakutangaze 2.Fanya jambo moja tofauti, lifanye vizuri. Litakutofautisha 3. Mteja akiridhika, muombe atoe ushuhuda alafu utumie kama content Huhitaji bajeti
Katika mazingira yetu, biashara nyingi zinazofanya vizuri 👉ama zimechukua mawazo yaliyokuwepo na kuyaboresha 👉 Au zimechukua ideas kutoka kwingine na kuzitekeleza hapa. Wazo lako halihitaji kuwa original ili ufanikiwe-linahitaji kuwa bora na linalotekelezeka.
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA🛍️🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44/45 ✅Bei 85,000/= Wa.me/+255623346245 📍Kariakoo
IBA SIRI HII— YA KUCHANGANYA KITUNGUU SAUMU, ASALI NA KARAFUU..🍆💦 Open Thread🧵
Uvumilivu unahitaji hekima. Lazima uwe na uhakika kuwa unachovumilia kweli kitazaa matunda. Otherwise unaweza unaweza kujikuta ukisubiri meli airport.
Uvumilivu ni muhimu lakini usivumilie ujinga .Jifunze, boresha, kisha vumilia ukiwa na mwelekeo sahihi.
Biashara inajengwa kwa uvumilivu. Ukiukosa, unaweza kuacha biashara ambayo baada ya mwaka ingeanza kuzaa matunda. Lkn uvumilivu pekee hautoshi-unahitaji maarifa. Bila maarifa, utafanya maamuzi mabovu na kupoteza. So, endelea kuwa mvumilivu na tafuta maarifa kwa gharama zote.
Ukisoma vizuri hivi vitabu utagundua Binadamu anaogopa mabadiliko hata kama yana faida kwake. Maumivi ni kitu pekee anahitaji
“If you don’t pick your enemies, life will pick them for you, and you may not like the outcome.”
Savings ziwe automated moja kwa moja baada ya kipato kuingia. Savings ziwe sehemu ya matumizi na sio kinachobaki baada ya ku-spend. Ukisubiri umalize Spending you might get little or nothing to save.
“Do not save what is left after spending, but spend what is left after saving.” — Warren Buffett
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei 27,000/= Wa.me/+255623346245 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Watu wanaweza kufa kwa ajili ya dini zao. Unajua ni kwa nini? Sababu ni kuwa dini zimejenga imani thabiti ndani yao. Vivyo hivyo, marketing yako inahitaji kujenga imani ya wateja kwa bidhaa zako. Mteja anapoamini bidhaa zako, hatoki kirahisi. Usiangalie tu mauzo, jenga imani
Marketing inapaswa kuwa skill ya lazima kwa kila mtu kama ilivyo kusoma, kuandika na kuhesabu. Utapaswa kuuza ujuzi ulionao, bidhaa zako, ndoto zako, hata sera zako. Kama hauna marketing skills unaweza kuwa na kitu kizuri kisichofika mbali kwa sababu hujui kukiuza kwa watu.
Kweli, na katika kuuza hapo ndo Utofauti uliopo kuonyesha VALUE Yako. Aidha Uji Position Ki Corporate Au Solo. Corporate (Taasisi) Ina VALUE Kubwa ktk Ku package Unachokiuza.
Nimekuelewa sana Mwalimu kwa sababu watu wengi hubaki na vipaji vikubwa lakini maisha yao hayaendi popote hawajui kuviongelea kwa ushawishi.
Haijaishia hapo Brand Evangelists wanafanya Brand Advocacy,wata-engage kwenye social media za Biashara,watakutengenezea Community na kukupa Loyalty ya muda mrefu ikiwemo kukutetea kwa Customers dhidi ya Competitors.
Kuna wale tunaowaita "Brand Evangelists". Hawa huwambii kitu kuhusu Brand watakupa free promotion,positive word-of-mouth na ni voluntary ambassadors. Hawa hawaishii tu kuwa Satisfied ni Superfans wa Products,wanaamini kwenye value na ku-share positive experience waipatayo.
Watu wanaweza kufa kwa ajili ya dini zao. Unajua ni kwa nini? Sababu ni kuwa dini zimejenga imani thabiti ndani yao. Vivyo hivyo, marketing yako inahitaji kujenga imani ya wateja kwa bidhaa zako. Mteja anapoamini bidhaa zako, hatoki kirahisi. Usiangalie tu mauzo, jenga imani
Kama unataka kujenga imani ya bidhaa au chapa yako, fanya mambi haya 3. 1. Onyesha transfirmation ( before & after ) 2. Omba wateja wako shuhuda, waeleze tatizo waliokua nalo na mabadiliko baada ya bidhaa au chapa yako. 3. Tengeneza maudhui ya mchakato wa utatuzi wa tatizo.
Watu wanaweza kufa kwa ajili ya dini zao. Unajua ni kwa nini? Sababu ni kuwa dini zimejenga imani thabiti ndani yao. Vivyo hivyo, marketing yako inahitaji kujenga imani ya wateja kwa bidhaa zako. Mteja anapoamini bidhaa zako, hatoki kirahisi. Usiangalie tu mauzo, jenga imani