maila
@maila_kasorii
💔🥲 #MJITA
Kwa sasa ndio naelewa,Kwanini mzazi hasa Baba ikifika jioni anakaaga nje peke yake kama hivi.🙌😁🫡

Kuoa Mwanamke anaekunywa pombe au urudi shule ya msingi...??🤔 Mimi 👇👇
Jamaa hadi Euro ya wanawake inaisha halijapost taarifa yao yoyote kweli jamaa lipo kwa ajili ya mpira wakiume 😅😅😅🙌
Tupo hapa bado ila ngoja tuone itakuaje😅
Kwa kutumia picha elezea wikiendi yako ilikiwaje???
Kwamba hao walevi hawakujui tajiri au ni pombe zimewachanganya?😂
#TajiriLakihaya Walevi huwa wanatuona sisi tunaokunywa Maji na RedBull au Malta Club, kama masikini hivi- Hatuna hela😅😂
#TajiriLakihaya Walevi huwa wanatuona sisi tunaokunywa Maji na RedBull au Malta Club, kama masikini hivi- Hatuna hela😅😂
🚨 UPDATES 🔴Nahodha Mpya wa Simba ni Shomari Kapombe........ Kaikumbatia 6😄😄😄😄
Hii nyimbo mnacheza ikifika sehemu unaganda mwenzenu kaibiwa simu huku Tabata,kaganduka anajisachi simu imeenda 😂😂😂😂🙌🏿
So this mtu hapa turns 37years old kajizawadia Range Rover Autobiography,Mwaka wa mbele Zero kilometer🥹."Mnavyoiona hapo imenitoka 700M" "Ni Mungu tu na shughuli mbili tatu"🥳🥳🥳👏🏾👏🏾👏🏾
Mwaka 2045 nitakapofanikiwa kuwa Rais, nitahakikisha huduma ya afya kutolewa bure kwa wazee (kuanzia miaka 60) pamoja na watoto chini ya miaka 5 Mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wasiojiweza, ✊️ Mungu anisimamie kutimiza hili
Hata kama anakudanganya atajua mwenyewe,kikubwa akwambie nakupenda😂😂.
🥀°•Just smile and say "I'm Fine" because, nobody really care° #SUNDAY
Unajiita bad girl wakatupa ukinyonywa shingo unatetemeka kama jenereta bovu