fadhili abasi
@faith_shoes_
shoes dealer 📍K/koo mt. Congo&Narung'ombe. INNALLAH MASWABIRINA. ☎0692930987 call https://wa.me/255692930987
🔷Faith_shoes_store ni wauzaji wa viatu vya kike na kiume, jumla na rejareja. 🚛Delivery Dar na mikoani tunatuma 📍Tupo K/koo mt. Congo&narung'ombe #WalkwithConfidence ☎0692930987 call/whatsapp

Enzi za shule alikuwa hafagii darasa, eti ana cheti cha Dr kuwa ana allergy na vumbi... maisha yamembananisha, sasa hivi ni store keeper wa Twiga cement Michezo ya tauni🫵🏽😄
JUG LA JUICE NA GLASS ZAKE 4 TSH 25,000 0755 693 113 📍 UBUNGO EXTERNAL
SUFURIA ZETU NI KUBWA & NZITO ZOTE 3 TSH 75,000 UNAPATA NA SAHANI/KIKOMBE MOJA BURE😋 0755 693 113 ZIPO DUKANI KWETU UBUNGO EXTERNAL, MIKOA YOTE NATUMA BEI CHEE
TOYOTA IST 🔥 🔥 REG" #EGQ ◾️CC. 1290 ◾️FULL AC 🌧 ◾️SPORT RIMS ◾️ANDROID TV 🖥 ◾️FULL DOCUMENTS ✅️ BEI - 16.5M IPO DAR CALL - 0719542184
Leo niliamka na hii Album. Moja kati ya Album safi kinoma, kuanzia Production mpaka uwasilishaji. Niirudie tena kabla ya kulala sasa "Ting Main"🎶🔥
iPhone 13Pro Max 512GB 🔋95% Gold Color Tsh 1,400,000/= tzs NB:Mikoani tunatuma malipo Baada ya kupokea Exchange & Top up allowed 📞/Whatsapp 0683678977 KINDLY REPOST🔥☄️🎉
Top 10 wasanii Bora wa muda wote wa Hip Hop Tanzania. 10. Stamina Shorwebwenzi
Google Pixel 6a Storage 128GB || RAM6GB Tsh 450,000/= Free cover & protector✅ Top Up deals allowed✅ Delivery Mikoa yote🛍️ ☎️0621513868 📍Kariakoo mtaa wa Uhuru, Karibu na Akiba Bank
#TajiriLaKihaya G O O D M O R N I N G 👋🏽 Arsenal Fans🫶🏾 Call me Viktor Gyökeres 🙌🏽
Hivi ndivyo kiungo mpya wa Simba Sc 🇹🇿 Alassane Kante 🇸🇳 alivyoagwa na klabu ya CA Bizertin 🇹🇳. ✅ Ni mnyama 🔴 ⚪ 🦁 #TransferUpdates
Kuna stage ya maisha automatically unaelewa kwanini Baba alikua anakaa nje usiku.
Kindly Repost Trailer Box body Ipo Dar Inataka 40M za Kitanzania Ni nzima ndani na nje Call:0768832035
Good morning chosen Kindly Repost SCANIA MENDE 114-380 USAJILI NAMBA E IPO DAR BEI 120M TZS LOW MILEAGE ENGINE & G-BOX ✅ CALL:+255768832035
Hivi kuna mtu aliwahi kumuona Morgan Freeman akiwa kijana? Maana tangu nimeanza kumfahamu, sura yake haijawahi kubadilika!
Anti blue light & flame (UNISEX) Tumewaletea Mzigo mpya wa miwan kali Usikose na hii🤗🔥 📌PRICE 65,000 (Full Package) 📍LOCATION Kariakoo livingstone na mchikichi Mikoani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa Karbu #bluerayglasses #zuwexglasses
Msanii wa Dotto magari ana hit songs nyingi na ni maarufu kuliko Wakazi
Ukimpata rafiki ambae anaweza kukuonesha michongo na namna ya Kupiga pesa, Mshikilie sana..!!
Blaza K buana🤣
Good morning watumishi SAHANI MFUPA MGUMU HIZI & KUBWA 6PCS -Tsh 23,000 0755 693 113 📍Zipo dukani Ubungo External, karibu na Marioti Hotel @Sativa255 @0505capri @fumbokhanJr
Naomba Kuuliza Wanangu? Nimepata Ofa mbili za Ajira moja ipo Mkoa wa Kigoma 800K per Month, nyingine Dodoma 500K per Month. Niende kufanya kazi Mkoa gani?