Dullah_theKing🎧
@DullahTheking2
There's no one who can stop you except yourself... I refuse to stop🙌🏽.. https://t.me/parachichiFM
👉🏽Founder wa "Coca-Cola" ndoto yake ilikuwa ni kuhakikisha kila Nyumba haikosekani chupa ya "Coca-Cola"...... Na alifanikiwa katika hilo 🙌🏽 👉🏽Kwa upande wa mzee wetu wa "Microsoft" lengo lake lilikuwa ni kuhakikisha anakuwepo katika kila Ofisi aisee.....na alilifanikisha hilo 🙌🏽…
Kaka ivi video za singeli zinaubunifu?😁😁😁 na ukitoa kuimba watu kwenye nyimbo jamaa anabaki na nini?
👉🏽Utajiri wa Contents☑️ 👉🏽 Pen ya kimamlaka☑️ 👉🏽Uwasilishaji uliotukuka☑️ 👉🏽Kutumia Sanaa kuwakilisha kilichopo kwa muda husika☑️ 👉🏽Hakuachi na Maswali katika uandishi wake☑️ 👉🏽ubunifu katika Video☑️ Wajina AkA DULLA MAKABILA, kwangu mimi huyu ndiye MFALME wa Singeli📌🚶🏾♂️
Sema MARIOO anastahili pongezi sana, kutoka katikati ya jitihada zake na Team yake, Bila kivuli cha Lebo kubwa ni jambo la kishujaa kinoma 🙌🏽 Ila tusilisahu sana jina la "WansiiiAgeinii" 🚶🏾♂️
Usipomzungumzia Marioo na Zuchu kwa heshima, utakuwa hujui muziki! Hawa ni wasanii wa ‘New school’ ambao huenda wakawa wa mwisho kuzalishwa na Bongo Fleva kama wasanii wakubwa! Namba zao na mafanikio yao vinaweza kukupumbaza hadi ukasahau kuwa hawana hata miaka 10 kwenye gemu!

Plug Furniture & Decoration ©️🇹🇿 ▫️Kitchen Cabinet on Progress... ▫️Springs & fiber ▫️Materials: Mninga wood & marble ▫️Location: Chang'ombe - Temeke ▫️Karibu Sana 📞 0754 029480
😂😂 hamna msanii humu
👉🏽Kuyatafuta hayo maneno yanayoweza kukupa maana zaidi ya moja ni jambo moja. 👉🏽Kuyavisha vina na kuyaconnect na Mada husika ni jambo la pili 👉🏽Pia kuufanya mstari husika usikike katika hali ya kufurahisha ni jambo lingine pia Mnamchukulia poa mshikaji ila sio rahisi wakuu 👇🏽
Kali sana huyo Justin Bieber wa Mikocheni na Joh Makini wmeua sana 🔥
Hii ngoma 🔥🎶
Kuna Clip moja Ahmed anasema "Kaka SIMBA ni hatari" Hapa mimi nasema "Kaka NAIROBI ni hatari" Katam ni Mid 🚶🏾♂️
Collabo la Bien ft Marioo, na Diamond ft Bien, ipi imekuwa Kali sana?
Yani mtoto wa darasa la 4 hajui kuosha vyombo na wazazi wanakwambia mwacheni mwanangu nafanya kazi kwa ajili yao house girl yupo namlipa 🙌
Mashabiki zake tunajua hii album ndio ya 5. Ile nyingine hatuitambui 📌
Maandalizi ya Album ya Harmonize si ya kawaida ni vile hapa ni Bongoresident hashtuii ila Production zinapigwa sana Ground vitu vinapikwa binafsii naisubiri sana.
Maandalizi ya Album ya Harmonize si ya kawaida ni vile hapa ni Bongoresident hashtuii ila Production zinapigwa sana Ground vitu vinapikwa binafsii naisubiri sana.
Ujanja ni kuonekana mjinga ila deep down unajua nini unafanya.
Wajomba kabla sijajichanganya naomba mnishauri Nina shangazi zenu watatu 1. MPARE 2. MUIRAQ-MBULU 3. MZIGUA Ni chague kabila gani hapa ? Ushauri wenu wajomba zangu.
Hyu ni rapper makatuni amechagua kuiburudisha jamii tu, et almasi kadinda huu ni mwaka wa tisa 😄😄😄😁
👉🏽Kuyatafuta hayo maneno yanayoweza kukupa maana zaidi ya moja ni jambo moja. 👉🏽Kuyavisha vina na kuyaconnect na Mada husika ni jambo la pili 👉🏽Pia kuufanya mstari husika usikike katika hali ya kufurahisha ni jambo lingine pia Mnamchukulia poa mshikaji ila sio rahisi wakuu 👇🏽
Kuna janja anaitwa Dogo Elisha ,Kuna Media ilimuuliza unamjua Dulla Makabila akasema Hamjui na akasema yeye ndio king wa Singeli Kibongo Bongoo😂😂 Backnedayz Platform aliulizwa unamjua Marioo naye akasema hamjui 🙌 Kwanini Wasanii wanahizi mambo za kusema hawajuani?