Fumbo Khan
@fumbokhanJr
Simba Sports fan and Real Madrid
Naomba Repost yako hapa🙏 Unajua Kama ni rahisi sana Kujitibu kupitia Mitishamba na Kupata Matokeo Kwa haraka sana. Kwanza Dawa hazina Kemikali zimetengenezwa Kwa mchanganyiko wa mitishamba. Zinasaidia Kutibu na Kuondoa Matatizo yafuatayo. -Kurefusha na Kunenepesha Uume…

Hospitali ya Wilaya ya Nkasi imekuwa mkombozi kwa wananchi wa Nkasi na maeneo jirani. Serikali imejenga miundombinu bora inayowezesha upatikanaji wa vifaa tiba vya kisasa zinavyowasaidia wananchi kupata huduma bora za afya karibu yao. #OktobaTunatikiSamia
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025 katika…

Mdogo wangu amemalza HGK anaweza kwenda Course gani nzuri Chuo??
Kama unataka Kuacha punyeto Njoo hapa tukupe Dawa, na tukutibu Madhara yote ya NYETO..!!
Naomba Repost yako hapa🙏 Unajua Kama ni rahisi sana Kujitibu kupitia Mitishamba na Kupata Matokeo Kwa haraka sana. Kwanza Dawa hazina Kemikali zimetengenezwa Kwa mchanganyiko wa mitishamba. Zinasaidia Kutibu na Kuondoa Matatizo yafuatayo. -Kurefusha na Kunenepesha Uume…
Hii Song la Zenji Means Feisal, Hakuna Kitu kitawauma Utopolo Kama Feisal Kuja Simba Sports😂😂
Team gani inaweza Kuizuia hii Simba isichukue Ubingwa wa league..??
Jana Mechi ya Kirafiki Azizi Ki katupigia Goal 2, Huku moja likiwa la free kick, Jamaa ameanza Kujipata Wydad.

📍 Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa, Dodoma Mwenyekiti wa CCM, Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza mkutano huo uliofanyika kwa njia ya mtandao ambao umepitisha mabadiliko madogo ya katiba ya chama. #OktobaTunatikiSamia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (Korea Infrastructure Finance Corporation)(K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma…

Huenda Liverpool Msimu ujao wakawa na team ya Hovyo sana, Hawa jamaa wajiandae Kisychologia..!!
Hospitali ya Wilaya ya Nkasi imekuwa mkombozi kwa wananchi wa Nkasi na maeneo jirani. Serikali imejenga miundombinu bora inayowezesha upatikanaji wa vifaa tiba vya kisasa zinavyowasaidia wananchi kupata huduma bora za afya karibu yao. #OktobaTunatikiSamia
Huyu ndio alikuwa anaitesa sana Midfielder ya Simba, Kuondoka Kwa Aucho ni furaha sana Kwetu, now nawataka YANGA community Shield, tunaenda Kulipa Kisasi.💪💪💪
Je Wajua..?? WAKULIMA SASA HAWANA SHIDA MAMA; ✔️Ameongeza mtaji Benki ya Kilimo (TABD) kwa 346.7% kutoka sh. 60bn/-2021, hadi Sh 268bn/-2022 ✔️Amepunguza riba ya mikopo ya kilimo kutoka 20% hadi 9% ✔️Mbolea kutoka nje ameiwekea ruzuku, ya ndani ameondoa VAT…

Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, mkoani Singida, imeanzisha mradi wa bwawa la ufugaji wa samaki katika eneo la Itigi Majengo, ambalo litatumika kama shamba darasa kwa ajili ya kutoa mafunzo ya ufugaji bora wa samaki kwa wananchi wa halmashauri hiyo. #OktobaTunatikiSamia
SHULE YA SEKONDARI KILOLO Serikali imekamilisha ujenzi wa madarasa na bweni katika shule ya sekondari Kilolo. Rais Samia Suluhu ameboresha mazingira ya kujifunzia kwa watoto wa kitanzania. #OktobaTunatikiSamia