SIR JEFF⚡🇹🇿
@Sirjeff_D
167 IQ-Genius//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of Morals & Culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzschean🧠
Kuna aina 2 za haters wa mpinduameza; -Msimbe anayejijua wazi hana standards za kuwa mwanamke bora -Jamaa mduanzi anayejijua kuwa hadi anakufa hawezi kufikia class ya mpinduameza Wote hawa ni losers Wakati mpinduameza ana-focus na kupindua meza, loser ana-focus na mpinduameza
CHEAP DOPAMINE
What's the fastest way a man in his 20s and 30s can ruin his life?
#NewProfilePic just a reminder to be kind to yourself & others. We're all growing.

Ukisali, muombe Mungu akujalie busara na utulivu wa kuwakubali WAPUMBAVU kama walivyo Akupe ujasiri wa kujizuia na kujidhibiti Na, akuzidishie hekima ya kukumbuka kuwa ukimchukulia hatua mpumbavu unaweza kuishia jela, kizembe GM fam🌞
Unaweza ukafanya kila kitu kwa usahihi, ukajitoa kwa asilimia zote 100, ukafata sheria na miongozo yote... na bado ukagonga pua sakafuni😭
Hit me with one harsh truth you've accepted so far as a man.
MBDTF - Kanye Game Over - P Square
no album ever is a 10/10… not one album in history has all 10/10 songs on it
Nyakati km hizi ndo; Wavulana hubadilika kuwa wanaume Waliodharauliwa huinuka na kuheshimiwa Waliokuwa kimya watanyanyua vinywa vyao na kunguruma Historia itaandika majina ya mashujaa, walioitwa wanyonge Jasho, damu & machozi yatatiririka km ishara ya ukombozi Tutakuwepo🫵🏽

Acha kusema washkaji zako ni wanafiki, wanakukataa, au hawana muda na wewe... Sikia bro, tushakuwa watu wazima, sio kama enzi zile tuna miaka 14; watu wana majukumu, watu wanatengeneza maisha, watu wana-deal na changamoto za ulimwengu
Maskini akilala, watu watamlaumu kwa uvivu, uzembe na ulegevu; tajiri akilala watu watampokeza kwa kupumzika & kujali afya yake Maskini akishobokea viongozi, watu watasema ni chawa; tajiri akishobokea viongozi, watu watasema ni connection & lobbying Bro, tafuta PESA kinoko sn!
Jukumu la wasomi na watu waliobarikiwa IQ ni kuikosoa, kuihoji na kuipa changamoto mamlaka, si kuinyenyekea na kuitumikia We angalia wasomi wote walioamua kushikamana na mamlaka... wengi wao akili zao zimekuwa kama kono-kono
Ukishazaliwa tu mwanaume, ni wewe utapambana kutafuta kazi/biashara, mke, watoto, pesa, plot, nyumba, usafiri, maisha mazuri, amani & furaha Mwanaume anampambania kila mtu ila hakuna wa kumpambania yeye. Na akifa,wale aliowapambania maisha yake yote ndio watakaorithi mali zake🫣

Kuna boya anamuona demu wake ana jezi ya Man U, Chelsea, na Liverpool na bado hashtuki. Hao ni wanaume watatu tofauti. Sidhani km kuna binti wa kitanzania ambaye intentionally anatoka kwake, anaenda dukani kununua jersey.
Enzi za shule alikuwa hafagii darasa, eti ana cheti cha Dr kuwa ana allergy na vumbi... maisha yamembananisha, sasa hivi ni store keeper wa Twiga cement Michezo ya tauni🫵🏽😄
Kwa mtu fulani wewe ni wa uongo wewe ni miyeyusho wewe huna maana Lakini kwa mtu mwingine wewe ni shujaa wewe ni mshauri wewe ni mfano wa kuigwa Haijalishi watu wanakuonaje, kuwa wewe kama wewe. Kuwa halisi, kuwa OG Nyooka kama rula; zaidi ya yote, kamwe usijidanganye mwenyewe
Watoto hukaa muda mwingi sana na mama kuliko na baba Kwa hivyo, mboreshe na mwinue mama yao ili watoto wapate maono makubwa ya maisha Kile mama anawaza, anajua na anaona kinaathiri sana ndoto & visions za wanao Mama akiwa kilaza, hana exposure; watoto lazima wadumae ubongo
Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini wazazi wetu walikuwa makini ktk kuchagua wageni wa kuingia ndani ya nyumba na wale wa kukaa nje ya nyumba? Si kila rafiki ni RAFIKI. Wapo watu wenye roho za giza lakini nyuso zao zina tabasamu Weka watu mahali wanapostahili. Na usijute kwa hilo
Champ, there's no such thing as bad publicity... in fact, bad publicity is 10 times better than no publicity.
Hii inawork kwenye kuzungumziwa positively au hata negatively mkuu?
Watu wengi wenye IQ ndogo wanadhani personal branding ni kupost vipeperushi kwenye WhatsApp group/status Branding OG ni umbeya watu wanapiga kuhusu ww Wafanye watu wakuzungumzie; kwenye baa, daladala, msibani, space, X threads nk Kuwa topic & hadithi wasiyoweza kuacha kujadili