Uncle chitemo
@ankowataifa
#RosaAfricaGroup
Good Afternoon, Connect with Tanzanian followers by dropping your username on the comment 👊👊🇹🇿
Chambuzi Boni kagoma kusoma anataka kuwekeza kwa pisi 😂😂😂 #MondayVAR
CHADEMA wenzangu msiogope. Tunapitishwa katika moto mkali wa tanuru. DOLA na CCM wametupima katika mizani yao, wameona chama chetu ni kikubwa, kimejitosheleza na kipo tayari kuchukua madaraka. Hawatuchukulii kwa udogo tena. Ndiyo maana vita imekuwa kubwa sana. Tupo pazuri. ✌️
In Africa, the more you are promoted at work is the closer you are to being fired.
Me: Mambo Her: Poa niambie Me: Mzima wewe Her: Ndio Me: 😂👇
Kuna demu nmesomanae alinisimulia hali anayopitia nliachaga hata kumwamsha asubuhi kufanya usafi yeye akianza bleed miez hata 3 na anabadilika kabisa operation kafanya nyingi lkn wap
Hii ni kweli ila biblia haijaeleza kuwa ni non stop .ni vile tu visa vya biblia vimeelezwa kifupi , ila ilimaanisha kutokwa damu baada ya hedhi , ndio maana yule mwanamke alishindwa kumweleza Yesu kwasababu kisheria alikuwa Najisi . Hayo matatizo yalikuwepo tangu enzi za Musa
Sema Mambo za maandiko yajadiliwe kimaandiko tu, Imagine Mwanamke Ableed 5+ years non stop 🫵
Kaka Hizi Case zipo sana Sema Tofauti ni kwamba inakuwa Sio ile non stop kaka ni kwamba Ndani ya Mwezi tu inajirudia Rudia
Ile kampuni kila marathon ipo. Hawa watu wanaonekana wana kibunda sana.
Kuna Chuma Nimepishana nacho Hapa Barabaran ni Balaa Tumeishia Kuangaliana kwa Macho Mpaka Akaanza Kucheka.
Kwani hiii kauli ya mwamba na no reform no election Ina tofauti gani ..??
Sijajua wachezaji huwa wanawaza nini kichwani ila kuleta misuguano na club ambayo ilikupa jina si katika tabia a professional footballer anatakiwa kuwa nazo. I doubt, Isak na Newcastle kuna kitu hakipo sawa.
Hivi hawa maafisa Utamu huwa hawalisikii hili baridi!! Maana hapo kitambaa wamevaa yani ni kama hawajavaa na wapo safi kabisa!!, au wanakusanya ubaridi wa kwenda nao motoni😂🤔.
Kuna mbaba kasema et ukiona mwanamke anachangamkia Sana tendo la ndoa ujue ni Malaya 😂😂😂🙌🏼💔 content creators mtatuua .
Sema Yanga ina nguvu sana guys. Leo Saa tatu na nusu Usiku, hadi Simba wanashauku ya kujua majina yaliyopelekwa Jimboni.