official Nassoro
@nassoro15
Imani hujengwa mara moja, ukivunja basi kinachofuata siyo imani ni unafiki, jitahidi sana kuwa mwaminifu kwa watu.
Kukubalika sana sio kipimo cha kukufanya ujione kuwa huna kasoro ni vile ndani ya hizo kasoro zako zipo timilifu zilizovutia ukubalike hivyo punguza majivuno na dharau.
Mimba ina baba wengi ila mtoto ana baba mmoja. #ElimikaWikiendi
Jifunze Kuheshimi Watu Shukrani Ni jambo abora sana Kuliko Thaman🤝
Ukikopa kuwa mpole na jali marejesho kwa wakati ili usiwe na shida.
Je Wewe umeingiza kiasi gani kupitia simba toka mwaka 2017 hadi Sasa?
Ukiwa maskini hakuna anayejali na hakuna mwenye shaka na wewe zaidi utaitwa mvivu, ukitajirika wanakutilia shaka hata kama waliona juhudi zako hawaamini kuwa hizo juhudi ndio chanzo cha utajiri wako wanahisi kuna kitu kingine nyuma ya pazia.
Busara ni pamoja na kutokumuuliza mtu jambo ambalo alikuficha na hekima ni kumuonesha hujui baada ya wewe kujua alichokifanya Goog morning everyone🥂🙏
Mungu hakusikilizi kwa sauti yako tu, bali kwa moyo uliojaa haki, uaminifu na unyenyekevu. Anapokuona unateseka lakini bado unamkimbilia Yeye, anakufunika kama mboni ya jicho lake.🙏🏽
Ukifuatilia ugomvi wa watu hadi kuwa maadui utagundua kuwa wengi wao walishawahi kuwa marafiki sana hii inadhihirisha kuwa rafiki aweza geuka adui muda wowote, ukiwa na rafiki jifunze kuweka mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Pesa haijawahi tosha ukiona mtu amekupa jua amejinyima na kukuthamini
Majungu kazini ni chanzo kimojawapo cha migogoro ,na kiongozi anayefanyia kazi majungu mwisho wake ni kushindwa kuongoza.
Dhulma haijawahi kumuacha mtu salama💔 tujitahidi tusidhulumu vya watu🙏
Mali imenyooka 20000 tuu 🔥 Delivery ✅🚚 mikoani tunatuma WhatsApp 0753103048🔥📌💯 Kindly repost 🙏♥️
Kadri unavyoendelea kudharau watu ndivyo unavyozidi kujifungia milango ya fursa.
🙏Naomba repost🥰 #QUALITY SHOES🔥🛍️ ✅ BEI~100,000/= ✅Size 40-45 ✅ 0623346245
😎Naomba repost🤗 ✅0623346245 📍Kariakoo ✅30,000/= ✅28,000/=
Wasio na maisha kama mimi June Photo Dump.!!
Wasio na maisha kama mimi June Photo Dump.!!