Moyo wa TAIFA ™️
@bajabiri
kama posti zangu zinakukera NIBLOKU....
"Kama posti zangu zinakukera NIBLOKU.....Na kama unaona bado nakukera NISAMEHE"

Mbunge mtarajiwa wa Ikungi
Tuwape watoto zawadi zenye tija, iwe majumbani ama mashuleni.
Tuwape watoto zawadi zenye tija, iwe majumbani ama mashuleni.
Hotel za Royal Village Dar na Dodoma mimi nalipa 50k nalala executive suite ila lazima niwe mimi mwenyewe
Bei halisi ni 200K . .hongera sana
Hotel za Royal Village Dar na Dodoma mimi nalipa 50k nalala executive suite ila lazima niwe mimi mwenyewe
Ukiongeza 10K unalala Royal Village pale kwa 60K
Wakuu hapaa Dodoma Sehemu Nzuri ya kualala kwa 50k napata Wapii..?
Kaka...leo Kuu Street ilifungwa for many hrs kipande cha CCM HQ pale.
Sometimes inakuwe foreni Lakini Sio kama ya Dar. Foreni ya Dodoma haipandishi vitumbua bei
Hakuna kitu mwanadamu anafanya kwa Bahati mbaya. Ukiona taasisi au mtu anakushawishi kufanya jambo fulani; jiulize kwanza faida atakazopata yeye, kabla ya kujua faida kwa upande wako. Zingatia “ukitaka kula lazima uliwe kidogo”
Siku hizi watu hawataki shida kabisa, hata machungwa, wanataka yaliyomenywa.
Watakuwa hawajawatendea haki watia nia
Kwa maelezo ya leo Kuna majimbo yatarudi matatu na Kuna majimbo yatarudi zaidi ya matatu. Ila hayawezi kurufi majina yote ya waliotia nia
Safi Sana Bora hata ukakae na Pablo singida mpige debe usiku kucha stand hapo😂
Kujipigia bao usingizini
Faida moja wapo ya kuwa Single ni kwamba Hela zako unakula Peke yako,Ongeza Faida nyingine.😂
To everyone on board and those planning their next trip — we're here to take you there safely and comfortably. Book your ride now: allysstar.co.tz #LetsTravelTogether