Veronica Pantaleo
@VeronicaPanta15
Professional Teacher | Influencer @Wowzi_Tz | Zonal Coordinator @_activista255 @UNICEFTanzania(Championi wa Haki za Watoto & Binti & Sio Lazima Campaign)
Utajiri sio ushetani na umasikini sio utakatifu..💃
Watu wa maana kwako ni wale wanaosimama na wewe hata katika kipindi chote ukiwa huna mwelekeo wowote ule na sio wale wanaokuja ukiwa umeshafanikiwa : wakatae 🤔 .
CHUPA ZA CHAI😍 ZIPO RANGI MBILI 1.8L TSH 25,000 0755 693 113 📍Duka lipo Ubungo External, mkoa natuma
SAVING BOWLS ZETU ZA KISHUA.. BEI IMEPOA🔥 TSH 50,000 0755 693 113 📍 UBUNGO EXTERNAL, MIKOANI NATUMA
Matukio ya udhalilishaji wa watoto mtandaoni ikiwemo kusambaza picha na kuambanisha na maneno machafu huwaathiri sana kihisia. Jali utu epuka kuwaumiza kwa ustawi bora wa afya zao za akili. Mwenyekiti wa watoto taifa @Raphaelcha66988, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Xspace
EISHHH PREMIUM QUALITY 🥶 Size: M - 3XL Price: 25,000/= Delivery Yes I Do Call & DM 0626560477 Location Kariakoo Mtaa Congo Jengo La Raha Restaurant
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei jezi ya sasa 27,000/= 👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255623346245 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Presha Ya Mafanikio isikufanye uone kila aliyefanikiwa Ni Adui Yako.. Good Morning X family 🤚.
Tuendelee Kupambana Hatutapumzika Mpaka Siku Tupaki Magari Nje ya Nyumba za Wazazi Wetu. Good Morning
Good Morning Friend's...! Kila asubuhi una machaguo mawili, kuendelea kulala na ndoto zako au kuamka na kuzifukuzia..
Good morning God's people 📚 Tumepewa uhai wa Bure kabisa. Tunashukuru sana Mungu kwa fursa hii ya maisha.
Kujiamini ndo ishakuwa LIFESTYLE 😎 Goodmorning X family **Bei na maelezo kwenye comment 👇
Kuna namna upo uhusiano kati ya maisha na imani aliyonayo mtu.
Siku zote jambo zuri haliwezi kutokea kama mambo hayajaharibika kwasababu..... Kuna wakati mwingine bahati huja ikiwa imefunikwa na ubaya Good Morning Hustlers
Zinaa inaondoa baraka. Nao watakula, lakini hawatashiba, watafanya zinaa lakini hawataongezeka kwa sababu wameacha kumwangalia Bwana Hosea 4:10
“Mambo makubwa huja kwa bidii na uvumilivu. Hakuna visingizio.” - Kobe Bryant
Jumatatu, 28 July 2025 Tunazitafuta Siku 366 Katika Mwaka. GOD IS GOOD Good Morning Family…! 🌞
Haijalishi Hali ya Maisha Uliyonayo Amka Kila Asubuhi Na Umshukuru MUNGU Bado Unaishi.
Watu Hawahitaji Kuamini Wewe Unaweza Bali Ni Wewe Ndio Mwenye Uhitaji Wa kuamini Unaweza Kitu Kwenye Maisha Yako..