Malaika
@magdiemma
Uaminifu wako ndio utakaokupatia watu wa kukusogezea fursa
Heshima ya binti kwa mpenzi au mume wake huanzia nyumbani kwao kwa kumuheshimu baba yake na ndugu zake wa kiume kama hao wa nyumbani kwao ameshindwa kuwaheshimu itakuwa ni miujiza kumuheshimu mwanaume mwingine.
Usiache kile kitakachokupa heshima. Muda wa huu Makuzi ya Lugha kwa wanajukwaa wote #ElimikaWikiendi
Ahsante Mwenyezi Mungu 🙏 kwa kunipa muda mwengine 🙏 wa kuishi 🙏 tena 💯🥀 . Thank you God 🙏 for give me another time 🙏 to live 🙏 again 💯🥀
Moyo umeamka kwa furaha, kwa sababu kuna mtu special ananiambia "Good Morning Baby" kila siku 😅🙌 Good morning my X family.....🏃♂️🏃♂️
ukiwa haupo katika serious relationship au single,ukikutana na nyimbo zakimapenzi hua ninzuri zaidi kuliko ukiwa kwenye mahusiano.. 🤠🤠
Kuangaza nuru yako angavu zaidi ni kuwa vile ulivyo kweli. #ElimikaWikiendi
Basi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu, upole, uvumilivu, mkichukuliana, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi. Kol 3:12-13 SUV
Katika kuandika historia ya maisha yako, jitahidi sana usimwachie mtu kalamu yako✍️ GOOD MORNING GOD'S PEOPLE 🙏
Ni siku Nyengine tena tusiache kumshukuru Mungu. Good Morning X Family.
Love is the first chapter in the book of virtue. Good Morning Ladies and Gentlemen
Mafanikio hayaji vupu bin vuu! Usijiondolee moyo wa uaminifu unapo dhaminiwa,unapopewa nafasi katika kazi,biashara au mahali pengine popote! Aminika!
Ni bora ukaamini mungu yupo alafu uende umkose kuliko kuamini kwamba hayupo alafu uende umkute...... Good morning fam... 🌅🌅🌅🌅
𝐔𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐖𝐀 𝐅𝐔𝐑𝐀𝐇𝐀 kwa Wananchi🔥 #8 Kaa Tayari…..⏳ Pakua na Lipia Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Magonjwa mengi kwa sasa hutapata kutokana na matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi na kutokufanya mazoezi #ElimikaWikiendi
Uhusiano mzurii wa Utafutaji ni Kuwa mvumilivu katika zile changamoto utazopitia ziwe zenye kukujenga kiakili..
Hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi sana. Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiyona siku mpya tena. 🙏🏾
Alhamdulillahi lladhi ahyana ba’da ma amatana wa ilayhi nnushur."