MREMBO OG
@mrembo_og
Tenda wema
Nimeamka Nifanye maombi kwa ajili ya Mhe, @TunduALissu na @HecheJohn leo washinde kwa kishindo ewe mwenyezi Mungu weka wepesi katika hili wajumbe walete chaguo la wengi AMINA. #LissuhecheWillFixIt


Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Mhe. @TunduALissu akiwa ndani ya kuta za gereza la UKONGA. Anawatakia Watanzania wote jumapili iliyo njema. Anawapenda sana. Pokeeni salamu hizo.
Haya mauwaji waliyofanya JESHI LA POLISI leo huko NKASI kwa Mbunge wa Chadema Aida Kenani ni zaidi ya UKATILI. Nchi inanuka DAMU. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Catholic church has joined the WhatsApp group 😁 Finally Christians unite and push back against the blatant persecution of the believers of the Glory of Christ church! We cannot stand aside and just look at such blatant grevious violations of rights The Council of Pentecostal…
“Hakuna tofauti, Tofauti iliyopo”😂👏🏾 Masisiemu na vyama vyao shikizi yanahangaika sana kuitaka Chadema ishiriki huu uchaguzi. Yani kiongozi wa chama kilichotoka kushenyentwa miezi michache iliyopita kwa mifumo mibovu anasahau yote yale anataka kushawishi na chama kingine…
Leo nilikua na maputo kwenye TL yangu. 1+ to me, Ahsante Mungu.
VIDEO: Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), Askofu Vernon Fernandes, amesema kuwa serikali imeonesha usikivu na dhamira ya kutatua changamoto zinazolikumba Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, likiwemo suala…
TUPENDE KUTUMIKIA NA SIYO KUTUMIKIWA. Kiongozi wa kweli ni yule anayewaongoza watu kwa moyo wa upendo, huruma, na unyenyekevu. Yesu mwenyewe alifundisha kwamba kiongozi wa watu si mtu wa kutawala kwa nguvu, bali ni mtumishi wa wote, akisema: “Yeyote anayetaka kuwa mkuu…
Kuna watu waliwahi kuwa muhimu katika Taifa hili kiasi kwamba kabla hawajafika ukumbini hamuwezi kula au kunywa. Siku hizi wakiwa ukumbini, tunasubiri watoke kwanza ndipo tule. Wakiendelea kubaki ukumbini hatuwezi kula chakula chenyewe ni bora tususe na kuondoka na njaa tu.
Mungu amlinde Lissu na kumpigania kwa kila nia ovu inayopangwa juu yake na hii serikali ovu ya kishetani .
@mrembo_og Your AI assistant, now on the cover 😉 Stay on task and get things done without even opening your phone. Just say it, #FlexWindow handles the rest. #GalaxyAI #GalaxyZFlip7 Reply #stop to unsubscribe.
Hata uhangaike vipi na vikaragosi vyako @SuluhuSamia huwezi kuzima nyota yake @TunduALissu Hatma yake na njia aliyopangiwa na Mwenyezi Mungu ni ngumu ila USHINDI ni mkubwa #FreeTunduLissu #FreeTunduLissuNow T U N D U L I S S U 🔥 7th President of UR Tanzania 🇹🇿
Kanisa katoliki limewapatia ukumbi waumini wa Gwajima ili jumapili ijayo wafanyie ibada, haya mkafunge tena, #NoReformNoElection
Kanisa katoliki limewapa UKUMBI waumini wa Askofu Gwajima. Sasa Yule mcheza PORN mkuu wa wilaya ya ubungo aje kanisa katoliki kuleta kichaa chake. 🫵🤣 Asante sana kanisa KATOLIKI hakika hili ni kanisa la Mungu. Naomba wakatoliki na waumini wa Gwajima tufurahie huu ushindi hapo…
Kesho tarehe 28 Julai 2025 kesi namba 8323/2025 iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chama na Katibu Mkuu wakidai mgawanyo sawa rasilimali za Chama itaendelea Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam. Kesho Jaji atatoa uamuzi mdogo; juu…
Petition · End Electoral Irregularities and Strengthen Democracy in Tanzania - Tanzania · Change.org change.org/p/end-electora…
Sasa nimeligundua hili; Kutoka kwa taarifa alizopenyezewa dada @mangekimambi ni kwamba mama yenu alipata fununu kuwa wengi wa waliopitishwa kwenye yale majina matatu kutoka huko majimboni kwenye nafasi ya ubunge ni watu wa nchimbi, na kuna fununu pia kua nchimbi anautaka urais…