Joel Msuya
@JoelyMsuya
Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA taifa || Katibu wa BAVICHA mkoa wa ILALA || Activist & Human Right Defender || Politician || Raisi wa Tanzania 2055
UJUMBE MZITO WA KATIBU WA BARAZA LA MAASKOFU WA KATOLIKI TANZANIA (TEC) - PADRI CHARLES KITIMA:- “Kijana anaitwa SOKA ameitwa kituo cha polisi haonekani mpaka leo, sasa unasema sisi tunyamaze uovu ule lazima tuukemee, sasa kama kukemea uovu ni kuingilia mambo ya watu............
Mradi wa bomba la mafuta la Keystone XL Marekani lina, Urefu wa km 1,900 za Kusafirisha mafuta ghafi kutoka Alberta, Kanada hadi Texas, Marekani. Mradi ulisimamishwa na kufutwa mwaka 2021 kwa sababu za mazingira na upinzani wa umma #KataaEACOP #EACOPniTishio..

Changamoto za bomba la mafuta Marekani, athari kwa mazingira hasa ya asili ya na ardhi ya makabila ya asili ilipekelekea upinzani wa wananchi, Mashirika ya kiraia, wanaharakati wa mazingira, na jamii za wenyeji walipinga vikali. Mwamko huu unatakiwa kuwepo Tanzania kupinga EACOP.

Wafuatao kwenye picha ni Bob chacha wangwe, Tisian Mabele Marando, Willy Thomas na Chacha Amon hapa tulikuwa bado secondary mimi na Bob na Tisian chadema ndio ilituunganisha ila chacha na willy ni mkoa wa Mara ndio uliwafanya kuwa kwenye picha hii Chadema kitambo.
Maandishi haya siyo yangu. WAHUNI wamepagawa. Acheni kuhangaika kutengeneza TAKATAKA za UONGO. Haziwasaidii kuzimisha hoja za UMMA. Kwa sasa, Bi. #MariaSarungi anafanya kazi kubwa na MUHIMU kwa UMMA kuhusu #NoReformsNoElection. NAMUUNGA MKONO katika hilo. NB; MATAKO YENU. 😎
SIKU YA KUZUIA UCHAGUZI 29/10/2025 #NoReformNoElection
Mkutano Mkuu wa CCM , angalieni mlipotoka hadi leo mmeishia kukaa kama watazamaji wa sinema za Amitabh Bachchan kwenye Kibanda Umiza! Huu hautakuwa mjadala, tena kwa ajenda nyeti ya mabadiliko ya KATIBA. Hii ni sinema ya kisiasa kwa wajumbe waliovuliwa mamlaka yao ya kuhoji.…
“Woga huuliza: What if we fail? Imani hujibu: Even if we fall, we rise again.Tunasimama kwa sababu haki haitegemei mazingira mazuri, bali moyo usiokubali kunyamaza.” “ No reforms No Election “
Ukosefu wa mgawanyo wa madaraka huruhusu serikali kutekeleza maamuzi makubwa bila maoni ya wananchi, kama miradi mikubwa ya kibiashara yenye utata #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Katiba ya sasa inazuia uhuru wa vyombo vya habari na asasi za kiraia. Serikali yenye nguvu zisizodhibitiwa huweka sheria kandamizi kwa vyombo huru vya habari na NGOs, kudhibiti taarifa na uhuru wa kujieleza #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Kufinywa kwa uhuru wa wananchi kumesababisha kukosekana kwa uchambuzi wa kitaalamu katika uongozi. Maamuzi mengi hufanyika kisiasa badala ya kufuata utafiti au tafiti za kisayansi, jambo linalopunguza tija ya utawala #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Katiba ya sasa inazuia uhuru wa vyombo vya habari na asasi za kiraia. Serikali yenye nguvu zisizodhibitiwa huweka sheria kandamizi kwa vyombo huru vya habari na NGOs, kudhibiti taarifa na uhuru wa kujieleza #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..

Katiba ya sasa inazuia uhuru wa vyombo vya habari na asasi za kiraia. Serikali yenye nguvu zisizodhibitiwa huweka sheria kandamizi kwa vyombo huru vya habari na NGOs, kudhibiti taarifa na uhuru wa kujieleza #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..

Ukosefu wa mgawanyo wa madaraka huruhusu serikali kutekeleza maamuzi makubwa bila maoni ya wananchi, kama miradi mikubwa ya kibiashara yenye utata #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..

Taasisi zinapofanya kazi kwa amri moja, mipango ya Taifa hukosa ushirikishwaji na haina umoja wa kitaifa wa utekelezaji na kukosekana kwa dira ya pamoja ya kitaifa #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..

Mahakama isiyo huru hushindwa kusimama dhidi ya sheria au sera zinazokiuka katiba, jambo linalodhoofisha misingi ya utawala wa kisheria #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..
