Chadema Tanzania
@ChademaTZ2
The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️
"Sisi tunawagombea kama kuna mambo yamefanyika, mabadiliko yametokea, sheria zimewekwa vizuri, ambazo zinatuwezesha kushindana, tukipuliza kipenga ni siku moja tu." Mhe. @HecheJohn
"Chadema lazima uizungumze, kwa hasi (negative) au Chanya (postive)." Mhe. @HecheJohn
"Kwa nini ulale njaa kwenye nchi ambayo ni ya tatu kwa kuwa na dhahabu nyingi?." Mhe. @HecheJohn
MCHUNGAJI AKIOMBEA CHAMA NA VIONGOZI WAKE. Walinde viongozi wa Chama hiki cha Chadema, kipekee Mwenyekiti wao ambaye yupo kizuizini, naomba siku isiyojulikana utamtoa na kumpa nafasi ya kuendelea kufanya harakati kadiri ulivyomjalia. Mungu ulinde afya yake, uhai wake na uzima…
Mapema leo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa @HecheJohn , amemtembelea Mbunge mstaafu Mheshimiwa Selemani Bungara (maarufu kama Bwege) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kumjulia hali. Ziara hii ni ishara ya mshikamano na utu wa kibinadamu, bila kujali tofauti za…




Sisi tunasema hatutapiga magoti kwa mtu yeyote anayeteka, anayeuwa na kupoteza watu, kama umekubali kuwa kiongozi wa umma lazima ukubali kukosolewa. Huyu anayefunga makanisa yanapomwambia acha kuteka watu kwanini tumuonee aibu na kumwogopa, mimi Heche sitamwogopa na tutasonga…
Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. @HecheJohn siku ya kesho Jumatano tarehe 23 Julai 2025 atawaongoza wanachama na viongozi katika maziko ya Katibu wa Chadema wilaya ya Arumeru marehemu Albert Oltereu, nyumbani kwake Ngaramtoni.

"Waandishi mkawaulize wananchi kwanini hawaendi kupiga kura, watawaambia hata tukipiga kura yule tunaempigia hatangazwi, wananchi walishaanza #NoReformsNoElection kabla yetu sisi viongozi. Sisi tunafuata wananchi wanachokitaka; sio kwamba hatutashiriki uchaguzi, tutatoa tamko…
Julai 20, 2025 Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini Mhe. Aida Khenani amefanya kikao cha ndani katika kata ya Kirando Jimbo la Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa ikiwa ni mwendelezo wa kuimarisha #ChademaFamily. #NoReformsNoElection
Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) Mkoa wa Morogoro lilikusudia kuwa na Kongamano leo tarehe 20 Julai 2025, mgeni rasmi walitegemea awe Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Mhe. @AdvMahinyila. Asubuhi ya leo Jeshi la Polisi lilizingira eneo la ukumbi wakiwa na mabomu na silaha za moto na…
"Amri ilikuwa inasema, wajibu maombi wanazuiwa kufanya shughuli za kisiasa, wajibu maombi hao ni wawili; 1. Bodi ya wadhamini ya Chadema 2. Katibu Mkuu wa Chadema Hawa ni watu wawili pekee waliozuiliwa na Mahakama kufanya shughuli za kisiasa." Wakili Hekima Mwasipu.
Wanataka kuficha ushahidi, nihukumiwe kwa uhaini, ninyongwe kwa ushahidi usio onekana. @TunduALissu

"Adjournments are the state tactics to give the incumbent President & her party an easy ride to the October polls by ensuring Lissu is not out of prison until then It's not a surprise as state has no proof to make this a case before the competent court" handsoffcain.info/notizia/tanzan…

Mhe. @TunduALissu alivyofikishwa na kuondolewa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam leo tarehe 16 Julai 2025.
"Wananchi wanashindwa kunufaika kutokana na uongozi mbovu, uongozi ndio unaobadilisha mambo ya wananchi. Ili tutatue mzizi wa fitina kwanza tuanze na uongozi halafu tubadilishe mambo ya wananchi." Mhe. @HecheJohn