Maggy Muggy
@MuggyMaggy
Self Driven and Eager to Learn
..... @ccm_tanzania has attained retirement age..... Must go... No more thinking, no more care, no more plan, no more vision.... #CCMmustGo #OkoaBandariZetu #KatibaMpyaNiSasa. #FreePeterMadereka #FreeGeorgeSanga #MohamadIssa
Tamko kali la maandamano kutoka kwa @mdudechadematz
Huyu naye kakubali kutumika subiri Mungu atakavyowasambaratisha
Potato, Potatoe 🙄 This is Christian persecution by @SuluhuSamia - how can government forbid anyone from worshipping their God just because you have an issue with what their leader said (condemn abduction) This is persecution - full stop!
Chama Cha CCM Kinaenda Kushiriki Uchaguzi, Je Kinashindana Na Nani!? CCM Wanatumia Nguvu Kuubwa Kushindana Na CCM Part Two Zao Zikiongozwa Na CHAUMMA + ACT? Uchaguzi Bila Chama Kikuu Na Pekee Cha Upinzani “CHADEMA” Kushiriki Huo Sio Uchaguzi Ni UCHAFUZI. Wananchi Wasipuuzwe.
Makamu @HecheJohn ametoa shule kubwa sana hapa. Akina Oscar waende shule wajifunze namna kuuliza maswali yenye akili. #NorefomsNoelection
Dakika 40 za mahojiano ya mh @HecheJohn akiwa ndani ya WASAFI FM. KULA SHULE HAPA KABLA HUJALALA. REPOST 200 #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵😎
Kijana aliwahi kuniblock Lakini haki zake ziliponyimwa nilisimama nae. Nilipewa taarifa na askari (mwaminifu) kuwa kijana wetu yupo Keko nikawaambia Watanzania ndipo Tz ikajua kijana kakamatwa na wahuni. Amepata dhamana lkn bifuu la online huku linaendelea sio la utaifa.
The Keystone XL oil pipeline project in the United States is 1,900 km long, transporting crude oil from Alberta, Canada, to Texas, USA. The project was halted and canceled in 2021 due to environmental concerns and public opposition... #KataaEACOP #EACOPniTishio
Yohana 3 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. 17 Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
Haya majamaa yanayojua ni wizi tu. Si kingine ila.ipo siku
The Keystone XL oil pipeline project in the United States is 1,900 km long, transporting crude oil from Alberta, Canada, to Texas, USA. The project was halted and canceled in 2021 due to environmental concerns and public opposition #KataaEACOP #EACOPniTishio..
Uchaguzi wa 2020 Mh @YerickoNyerereT hakuwepo Tanzania alikuwepo nje ya nchi.
Wale wa matumaini ya kuzuia uchaguzi tuendelee na matumaini hewa huku tukishadadia migogoro ya maccm na mambo ya vikao vya michakato ya udiwani, ubunge na urais wa ccm tukitaraji kufanya hivyo ndio kuna mabadiliko ya tume ya uchaguzi ama katiba mpya yatatokea! Migogoro ya maccm…
CHADEMA ipi uliyopo wewe..... Bado unaishi kwa ' msajili ' ?
Tar 29/10 watanzania wanakwenda kupiga kura za ama-kuiondoa ccm madarakani au kuanza safari ya miaka mitano tena ya maumivu. @ChademaTZ2 tumewakosea sana watanzania kwa kutoshiriki uchaguzi huu. Nilisema hatuwezi kuzuia uchaguzi sasa maccm yanakwenda kupita kilain kabisa.
Msando ni ng'ombe kama ng'ombe zingine. Unazuia watu kukusanyika kuomba Mungu wao ukigemea nini? Takataka ni takataka tu
Ukosefu wa mgawanyo wa madaraka nchini Tanzania umechangia kwa kiwango kikubwa utendaji mbovu wa serikali kwa kupunguza uwajibikaji, ushirikishwaji na ufanisi wa kitaasisi... #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Hii game ilishaishia hapa, hiyo ya Oktoba ni kiinimacho tu. Biblia inasema WANA MACHO LAKINI HAWAONI, WANA MASIKIO LAKINI HAWASIKII.😎 Again: Kale kachakula kule Zanzibar kakiondoka, wote tutaongea lugha moja. Wacha mwaka huu warudishe mbuzi zizini halafu wakupooze na…
Uzuri ni kwamba tumeshajifunza mengi sana kuhusu fraud kwenye chaguzi maeneo mbali mbali duniani, thanks to teknolojia. Miaka ya zamani kidogo pale NewYork kulikuwa political machine moja inaitwa TAMMANY HALL. Hapa michezo mingi sana ilifanyika ya kupora chaguzi, ikiwemo huu…
Wameanza kupika takwimu, tujiandae kusikia marehemu, watoto wadogo wa shule kuandikishwa