John Heche
@HecheJohn
Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
Petition · End Electoral Irregularities and Strengthen Democracy in Tanzania - Tanzania · Change.org change.org/p/end-electora…
kaka mchinjita, kwa heshima sana, naomba nikukumbushe kwamba 2010 na 2015 ni zama tofauti zisizofaa kuelezea nini kinaweza kutokea kwenye uchaguzi wa 2025, ukizingatia tuliyoyaona 2019, 2020, na 2024, yaliyo-overule kabisa precedent iliyokuwa imewekwa 2010 na 2015.
Shukran, majimbo yote ya upinzani yalotangazwa hapa nchini more than 90% wananchi waliyapigania. Mkoa wa lindi upinzani 2015 ulipata halmashauri 3 zote ni kwa kuzipigania. Jeshi lililetwa kilwa 2010 lakini wananchi wali resist. We have that force and experience. Sasa leadership…
Umesha Sign Petition? Ni rahisi na onyesha kwa vitendo kuwa Bila Reforms hakuna Mzalendo ataekwenda kwenye Uchaguzi change.org/p/end-electora…
#TANZANIA: HECHE AFUNGUKA MAZITO JAJI KUGOMA KUJIONDOA, AGUSIA SAKATA LA WANACHADEMA KUPIGWA NAMANYERE, NKASI Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Bara, @HecheJohn afunguka mazito mbele ya Mahakam kuu juu ya Jaji Mwanga kugoma kujitoa kwenye kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho…
Siku kama ya leo (28/07/2008) tulimpoteza Chacha Wangwe ghafla. Ilikuwa siku nzito na iliyoleta mabadiliko (-&+) kwa familia, ndani ya taasisi(CHADEMA) na Taifa alilolitumikia kwa ujumla. Hilo halijawahi kututia hofu, tumesamehe, HATUJASAHAU na tunamshukuru Mola kwa Maisha yake.
Kujiondoa kwenye shauri sio lazima uombwe, wewe mwenyewe tu unapojipima (dhamiri au conscious ) kuona kuwa huwezi kutenda haki unajiondoa. Haki imejengeka katika imani, kama upande mmoja hauna imani na wewe ni vyema ukajiondoa. Mahakama kuu ina jumla ya majaji 105 kwa nn…

Jaji msema uongo ni hatari katika utoaji wa HAKI Mahakamani. Jaji Mwanga anadai hajawahi kuwa mtumishi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar na wala huko hapajui! Jaji Mwanga ana nia OVU na Chadema na hawezi kutenda haki madhali ana upande ausimamiao katika shauri analoliendesha!
‼️🚨Uongo haufichiki🚨‼️ JAJI HAMIDU MWANGA JAJI HAMIDU MWANGA JAJI HAMIDU MWANGA nakuita mara tatu! Hii nini? 👇🏾 Mwaka 2021 ulikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ofisi ya Zanzibar (ZEC) kwa mujibu wa NEC Na hata @TumeUchaguziTZ ikifuta risiti tunayo JITOE maana…
Leo katika mahakama kuu ya Tanzania Dar es Salaam, Jaji Mwanga ameyatupilia mbali maombi ya Chama ya kutaka kujitoa kuendesha kesi ya Ally Issa dhidi ya CHADEMA dhidi ya mgawanyo wa mali za Chama. Maamuzi haya tuliyatarajia na kwa hiyo mapambano yanaendelea. Hasta la victoria,…
Jaji Hamidu Mwanga leo tarehe 28 Julai 2025 amekataa kujitoa katika shauri namba 8323/2025 iliyofunguliwa na Bodi ya Wadhamini ya Chama na Kaimu Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika ya kumtaka ajitoe katika shauri la msingi namba 8960/2025 kutokana na wao kutokuwa na imani nae kutokana na…
Endelea kusaini petition ya #NorefomsNoelection hapa. Petition · End Electoral Irregularities and Strengthen Democracy in Tanzania - Tanzania · Change.org change.org/p/end-electora…
Haki ya Mbunge kukutana na wapiga kura wake ni ya kikatiba na haihitaji ruhusa ya chama au Jeshi la Polisi. Mbunge huchaguliwa na wananchi, si kwa niaba ya chama bali kama mwakilishi wao. Chama kinatoa udhamini tu wa kugombea. Kudhani kuwa Mbunge ni kiongozi wa chama katika…
Kwa mujibu wa ibara ya 74 (1) hakuna kitu kinaitwa tume huru ya ya uchaguzi, sasa hii tume sijui inatekeleza majukumu yapi na inawajibika kwa nani. Lakini pia taarifa za waliojiandikisha ni lazima zitolewe kwa ushahidi wa takwimu si maneno matupu ya jumlajumla. Safari ya ulaghai!
TZ population by mid 2025 ni 70.5 million. Bado figure ya 37.6 million ni too much sawa na zaidi ya 53%. Hapo bado hatujaondoa wale wa under 18. Hii inayojiita tume huru iache kutufanya si kuwa mafala. Yaani mmeanza kuvuruga uchaguzi hata kabla ya bunge kuvunjwa. #tutaelewanatu
The whole useless saga to keep detaining @TunduALissu is to suppress voters. In an election whose results have already been predetermined. The whole 🌎 is watching.
Amka na nondo za Dkt Steven KIMONDO akiongelea UTEKAJI unaoendelea kwenye TAIFA. Swali la msingi alilohoji ni hawa Viongozi wanapatikanaje? Mzizi mkuu wa kumaliza haya mambo ni kufanya #NoReformsNoElection WANACHOKISEMA CHADEMA NI SAUTI YA UMMA. #TUTAKUWEPO🫵😎
Mzee yuko smart sana. In fact, anamfanya yule kijana aonekane mnafiki kwa kujifanya kwamba hajui kama kuna mauwaji na utekaji unaendelea. Hawa vijana wetu wamesomea wapi taaluma ya habari na mawasiliano???. Jinsi anavyo uliza maswali ni kielelezo cha ubovu wa mfumo wetu wa elimu.
Amka na nondo za Dkt Steven KIMONDO akiongelea UTEKAJI unaoendelea kwenye TAIFA. Swali la msingi alilohoji ni hawa Viongozi wanapatikanaje? Mzizi mkuu wa kumaliza haya mambo ni kufanya #NoReformsNoElection WANACHOKISEMA CHADEMA NI SAUTI YA UMMA. #TUTAKUWEPO🫵😎
Kisukari lazima kimpande mama mwaka huu 😁 Tungekuwa na vyombo vya habari huru tungesikia maoni kama haya hewani kweli maana watanzania TUMEMCHOKA haswa mama yao na genge zima 🚮 #NoReformsNoElection #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Takwimu za kupikwa ili kuhalalisha uchaguzi haramu. Wote wanaoshiriki katika udanganyifu huu ni wahaini na watawajibika siku itafika. Wanayemtumikia hatakuwepo kuwalinda. Wasiseme hatukuwaonya.
Tume ya Mama imesema watu wamejiandikisha Million 37.6 -Sensa ya mama 2022 inasema TAIFA lina watu Million 61,741,120. -Working ages population years wa mama ( 15-64 years) ni Million 33,000,224. -Elders population wa mama years 65+ ni Million 2,340,908. Elimu×3 😅
Zuio halikuwahusu wengineo isipokuwa wale walio Mahakamani, mazuio yote dhidi ya viongozi na wanachama wengineo wote wa Chadema ni batili.
ANATUTAARIFU MBUNGE WA NKASI KASKAZINI MKOANI RUKWA MHE.AIDA KHENANI "Kesho Julai 27,2025 ninakikao cha ndani cha kuzungumza na wananchi wangu Wa NAMANYERE ajabu leo Julai 26,2025 niliitwa Police nimekaa kikao na OCD wa Wilaya ya Nkasi kwa zaidi ya Masaa Matatu tukibishana…