Abogaa
@abogaa_
SINGER|SONGWRITER| Bruno Mars ⭐
Guys please make @wizkidayo see this song,it's musical demo naiona mbali sana I have no money tu push my career but what I know nina mziki mkubwa sana just repost and tag him please 🙏♥️
@IAmDonawon Hey Mr. Muyiwa, I really admire your work. I’d love the chance to be managed by you. I got the talent and can do different global sounds. I believe with your guidance, we could build something big.Let me know if you had be open to hearing more.@IAmDonawon
Uyole Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Siku Ukifa Hatuombolezi Tunakula Na Kunywa.
Watu ni maness wanajiita madkt kichwa hicho nichakuchukua udokta 🤣🤣
Gunna X Travis Scott hii combo ni hatari🙌
Kuna Kitu Gani Ushawai Kukikunjia Msuri Na Kikakupatia Matokeo, Na Kipi ulikaza Ukaaamua uachie Njiani Baadae emb Tupe Experiance 🫵
Sababu nyingine kwa wapenda sex wote duniani imepatikana,ukifanya mara kwa mara huzeeki haraka😁
☓ Bila followers ni kujiongelesha ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back ✍️ Mwisho kabisa mnifollow @humphreyPallan5 Kwa pamoja tutafika 10k ✌️👇....
Eti @grok ni mtu gani maarufu anachukiwa sana hapa Tanzania? Kulingana na data zako
Umri Kati Ya Miaka 25 hadi 35 ndiyo Wakati Sahihi Wakutengeneza Maisha. Tusifanye Makosa..
Unakumbuka Ulikuwa Unamuweka Wallpaper ili Uwe Unamuona Kila Saa? 😂😂🚮
Tanzania ndo nchii pekee duniani mtu ananunua vocha ili alipe deni alaf anakopa tena😂😂
Hivi ukiwa na kiwanja chumba sebure public toilet na jiko itaweza cost kiasi gani.?
Wanangu Ni Vile Tu Mungu Anatuokoa Kuna Muda Unaweza Ukawa na zana getho Na Usitumie Alafu Ukimaliza Ndio Unaanza Kujutia.
Ukiambiwa usikilize nyimbo moja tu maisha yako yote, Ungechagua nyimbo gani?
Kuoa Mwanamke anaekunywa pombe au urudi shule ya msingi...??🤔 Mimi 👇👇
Sema Kumpikia Mwanaume mwenzio kisa kaja kukutembelea hii nayo huwa ni kama biashara ya kijinga😂😂😂
Wakati mwingine, ushindi haupo mbali. Uvumilivu wako ndio ufunguo wake. 🐓