HUNTER
@Hunterjay12345
It’s all about Entertainment 🎬🍿🎶⚽️
Rayvanny na Ibrah ndio wasanii wanaoongoza Kufanya Vizuri Kwenye REMIX kuliko kazi zao Binafsi..


CHALLENGE ACCEPTED: BACK BENCHA taja mstari wowote wa BIBLIA ulioweka kichwani ambao unaweza kuutaja bila hata KUUSOMA kweny BIBLIA. Mimi: 👇🏿 Zaburi 71:1 "nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele"
Ukiona mwanamke anavaa kinyume na maadili basi nyuma yake kuna mwanaume kilaza🤞🏿
Mafanikio Huvutia Maadui. Maendeleo Yanazalisha Wivu. Kama Hakuna Anayekuchukia, Basi Hujafanikiwa Vizuri Maishani.✍️
Ikawe Jumamosi bora sana kwako yenye kheri na Baraka tele Good morning Fam 🌅🌅🌅🌅🌅🌅
Goodmorning! Tumia kinga wakati wa sex kwa mtu uliyekutana naye ambaye bado hamjapima HIV ..huu ugonjwa usikilizie tu kwa watu ila usiombe ukupate
Feisal salum Fey toto fundi wa mpira.. kama hizi taarifa ni za kweli basi msimu huu mnyama atakuwa na balaaa.
Ee Mungu wangu nimekutafuta mapema nafsi yangu inakuonea kiu Good morning chosen people
Leo kwenye Foleni ya mihogo nilikuwa mtu wa tatu ila bado nimefanikiwa kukosa mihogo. Mshikaji wa kwanza aliagizwa na wanae 12 na Mshikaji wa pili aliagizwa na wanae 13 Kwa lugha rahisi ni kama nilikuwa mtu wa 25 😥 Hii tabia ya kuchukuliana Mihogo muiache wanangu
Mke wangu kesho atakuwa kwenye Nbc Marathon Dodoma hapa kaniachia mtoto wetu mwenye Mwaka Mmoja tu, Kasema atawahi kurudi jumapili cha ajabu Mtoto saizi ndio ananisumbua Mimi analia sana na hata sijui nifanyaje..
Sio lazima kila jambo ulijibu. Wakati mwingine kimya kinaweka heshima kuliko maneno elfu moja. Jua lini kupigana, na jua lini kugeuka na kuondoka bila maneno mingi.
Mtu kanizidi mwezi mmoja tu. anaita Dogo dogo muda wote! tu mpaka inakela, Jau! sana🚮
Muda Huu kuna Mtu Anaambiwa Teremka na Hiyo Njia Nishakuona.
Kuwa mwema dhidi ya wengine HAINA gharama yoyote ile japo malipo yake yaweza kuwa kinyume na matarajio🤝 ~Wazee wa SUMBAWANGA