Mudrìck
@Mudrick02
Alhamdulillah🙏
Nimeota nipo na rashford nina msifia kuhusu knuckle ball aliyo ipiga akafunga goli.😂
🚨Simba SC wamekamiisha usajili wa kiungo mshambuliaji Mohamed Bajaber(22) kutoka Police FC ya nchini Kenya Kwa mujibu wa taarifa za awali tayari ameondolewa kikosi Cha Kenya michuano ya CHAN ili ajiunge na Simba SC kwa ajili ya Pre Season nchini Misri
It’s looking increasingly likely these two are going to be our striker options for next season. 🇫🇷 x 🇸🇪
Naitaka Hii Timu Ilaaa Upande Wa Gittens Awepo Neto 🔥🔥🔥🤩
Hizi drama zinazoendelea kuhusu huu mtambo wa magoal zinaeonesha huu usajili umewaumiza sana upande wa pili.😀🙌

Hapa ndio itapigwa fainali ya CHAN 2025 majirani wamenyoosha 🙌🏌🏿
🚨JUST IN Simba SC 🇹🇿 will pay to AZAM FC 🇹🇿around €150K for Feisal Salum Abdalah 🇹🇿.
📱Google Pixel 6 Pro ⚙️256Gb 💳BEI 550,000/= Tsh Free : Cover, Protector + 🔌 NB: Exchange na Top-Up✅ 📞0628139218 | 📞0747689218 📍Dar es salaam | Mikoani tunasafirisha 🚌
Leo nina mzuka tu kuharibu biashara za watu , Anyway ipo hivi 1.Feisal ndiye kiungo bora kwa sasa Nchini hapo tukubaliane hakuna kabisa ubishi 2.Kuelekea msimu wa 2025/26 Feisal anastahili kuwa mchezaji anayelipwa pesa ndefu nchini , hapo pia hakuna ubishi 3.Watu wapo nje ya…
Kutoka kina kirefu cha Bahari ya Hindi, sanduku la Usajili 2025/26 limewafikia Watu wa Republic (kitengo cha Habari na Mawasiliano Msimbazi). Mabibi na mabwana sasa tuko tayari kushusha Simba hatari wa kula maadui wa nchi kavu 🐅🦅🍦👮♂️🍇🐕🦍 na majini / matopeni 🐸 📲 Lipia…
🚨💣 UPDATES 👇 ➡️ JS Kabylie 🇩🇿 ipo kwenye nafasi nzuri ya kumpata Jean Ahoua (23) 🇨🇮 kutoka Simba 🇹🇿 Positive talks underway, no problem on player side. ⏳ Now, It’s up to Simba 🦁
🛑Feisal Salum Abdallah kwenda Simba SC haijawahi kuwa tatizo upande wa mchezaji tangu dirisha lililopita Shida ni Ile 500K USD wanayohitaji Azam FC Nakiri zipo jitihada za kuishawishi familia ya Bakhressa wakubali pungufu ya hiyo NB:Jambo Moja linaleta ugumu ila sintolitaja
Jaribio la kumzia Awesu linaposhindikana 🙂 #NguvuMoja
Dakika 90 Ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa ni ndefu sana iwapo Simba akiwa Ndani, Utopolo mtaeleza siku ya ufunguzi. Feisali atakuwepooooo.😂😎
Baadhi ya Mashabiki wa Barca tuliojitokeza kupeleka sadaka yetu ya shukrani pale katika Parokia ya Mtakatifu Paulo, baada ya usajili wa Rashford.
Another year, another reason to smile. Happy birthday to me.
Hello Bei tsh100,000 Call/whatsp 0654 328893 Delivery tunafanya Karibu sana,ubora ndio kipaumbele.