fezoo
@fezoomaster
ADUI💀
Hela ngumu mno wazee ukipata nafasi ya kuibia serekali ww iba tu.
Usiache kazi usiache shule kisa biashara unaweza fanya vyote afu safi
Majasiri madogo wa tiktok mtu anaonesha sura zake na ana kiwasha direct kwa gavo😂🙌🏾
My Premier League top 6 predictions: 🥇1st - Manchester United 🥈2nd - Chelsea 🥉3rd - Liverpool 4️⃣4th - Arsenal 5️⃣ - Man City 6️⃣ - Tottenham Any change?
Breaking news Feisal Salum “FEITOTO” amesaini Mkataba wa Miaka 2 kuendelea kuitumikia Azam Fc He will be pocketing around 70M monthly ikiwa ni Salary na Bonuses
Watu Wa Bk Mjini Ni watu Hawajawai kuwa na shukran Kwa chochote,Kila Mlichokiomba Mbunge wenu amekiwasilisha na Kila kitu kinajengwa lakini bado juzi mkataka kumfanyia ubaya jamaa 🤦no wonder hamkuwai kumshukuru Kagasheki after all🤦Mnataka Jamaa afanye nini yaani damn🤦
Mabondia wabongo wanakula wali maharage kumbe ndomana hawana nguvu 😂😂😂
Kwaya yetu leo inawasha moto hadi viongozi wa serikali wamesimama 🙌
Hivi ilikuaje hili pambano la kibwana shomari na denis Nkane wakatoka droo!!? 😂😂💔
Kuna yule Mshkaji Unamwona Kila Siku Anabadilisha Mademu ila Hajawahi Gonganisha Hata Siku Moja Mpaka Unajiuliza au Mwana Anatumia Dawa Nini...??? 🤣🤣🤣🤣
Sema hili swala la kuishi bachelor inafika wakati haujui ule nini Serikali ilifikilie 😭