Mkushi
@Mkushiiii
Mungu + Heshima + Juhudi 😇❤️🦅
Kuna Jamaa Katuweka Kwenye Kamati ya Harusi leo Ndio Kikao Cha Kwanza Tunamuuliza Wewe Umeweka Kiasi gani Mezani Anasema nina Laki 5 Tumemwambia Ongeza Mzigo Ndio Utupigie Simu Tena.
Kila siku huwa naongea hapa, ona sasa Chelsea wanakaribia kumuuza Felix (flop of the year) kwa 50m alafu sisi bado tunateseka kumuuza Garnacho ambaye ana numbers nzuri kuliko Felix. Ni huzuni!!.
Haijalishi wewe ni mwema kiasi gani, hauwezi kumridhisha mtu asiyekuwa na shukurani..!!📌
Huyo Mpenzi Wako Muongo Muongo kama Mwanasiasa Vipi Amekutafuta.
Wanangu Ni Vile Tu Mungu Anatuokoa Kuna Muda Unaweza Ukawa na zana getho Na Usitumie Alafu Ukimaliza Ndio Unaanza Kujutia.
Hivi ukiwa na kiwanja chumba sebure public toilet na jiko itaweza cost kiasi gani.?
Watu wanamalizia weekend na wapenzi wao ,afu kuna wewe Mchawi upwiru umekujaa kazi yako ni kushinda mitandaoni kutukana watu! 😆
Yes Best Quality At Best Price: 25,000/= Size: M - 2XL Delivery Yes I Do Location Kariakoo Mtaa Congo Jengo La Raha Restaurant
Broo Mwanamke Wako Akiombwa Namba Anatoa huku Anacheka cheka ila Kinachoendelea baada ya Hapo Sijui.🤣
Ndo hawa wenye visukar tunaowasema ikipanda mambo huwa kama hivi! 😂💔🙌🏽

Huyo Jamaa Ako Anayekaa Hostel Ndio Anakwambia Nimekusamehe Usirudie.🤣
Brother, Usimuoe Kwa Kumuonea Huruma Ya Muda Mrefu Mliodumu Pamoja Kwenye Mahusiano,Muoe Kwa Sababu Ana Vigezo Muhimu Vya Kuwa Mke Unayemtaka.
Kuna "Uzuri wako" ya JUX na ya RICH MAVOKO. Majina ni sawa ila Maudhui tofauti 🙌🏽 Ile ya Rich Duuh 🔥
Sala Ya Asubuhi Mungu Wangu, Najua Kuwa Furaha Ya Kweli Hutoka Kwako Peke Yako. Dunia Ina Mambo Mengi Yanayoweza Kunivuruga Na Kunikosesha Amani, Lakini Nataka Furaha Inayodumu Ambayo Huja Kwa Kukujua Wewe. Nijaze Na Furaha Ya Roho Mtakatifu, Niwe Na Moyo Wenye Shukrani Na..👇