Jebra Kambole
@Advocate_Jebra
Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032
For human rights updates, follow Organisation for Promoting Human Rights @OphTanzania
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
MALAWI: Julai 16, 2025, ilitangaza kufuta Kifungu cha 200 cha Kanuni ya Adhabu kinachofanya kashfa kuwa kosa la jinai, kwa kusema kinakiuka haki ya uhuru wa kujieleza. Kesi hiyo ilifunguliwa na Joshua Chisa Mbele dhidi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na Mwanasheria Mkuu akipinga…
A-Z Wakili Jebra Afunguka kwa Watanzania muenendo wa Kesi ya kupinga K... youtu.be/aP8KhZuZIlY?si… via @YouTube
@Advocate_Jebra @MariaSTsehai @AdvMahinyila @lifeofmshaba @Mwabuk2Boniface @humanrightstz @jjmnyika @HecheJohn youtu.be/aP8KhZuZIlY?si…
Kesho tunategemea kupata uamuzi wa maombi ya kibali cha kufungua kesi ya kupinga kanuni za maadili! Mahakama Kuu kanda ya Dodoma mbele ya Kagomba J, hizi ni miongoni mwa kanuni zinazotakiwa kufanyiwa reforms. Maamuzi yatakuwa kwa njia ya mtandao!

Kwanini uteke, kuua au kuumiza mtu kisa madaraka? unatofauti gani na mwizi anayeiba kwa bunduki? Mwisho wa siku unapata pesa na unapata madaraka then what next? Ukipata madaraka ndo hautakufa au ndo hauendi chooni? Hawapelekwi mahakamani sbb wanakuwa hawajafanya kosa! 😭

Freedom
Court: No IMEI declaration! High Court nullifies govt directive on disclosure on IMEI Court declared directive by the govt unconstitutional Mwita: The collection of IMEI numbers is unconstitutional Directive required Kenyans to disclose their phone IMEI #CitizenFridayNight
TAL
Even with fabricated & unjust terrorism charges hanging over his head like the Sword of Damocles, Chairman Freeman Mbowe still manages a sweet smile in a courtroom chat with his daughter Nicole. What a man!!! What a commitment!!!
Mzee wa Dira amechoka kujificha 😂😂
Amechoka kujificha
Rasta kama za Predator wa movie ya Anold baada ya kuonekana mara ya kwanza!!!
Pole sana bwana Mrisho Mpoto, jaribu kuvaa viatu vya Wazazi na ndugu wa Deus Soka ambaye baada ya kutekwa na kupotezwa, Rais Samia unayemshangilia kila siku alisimama kwenye podium na kusema ni drama. Vaa viatu vya familia ya Mzee Ali Kibao ambaye baada ya kutekwa na kuuawa,…
Unafurahi mahakama isivyokuwa huru au namna unashughulika na kesi ya Lissu na kesi za CDM? , unaona mfumo wa haki unachezewa unaona sawa. Unasahau kuwa mfumo huu ndo utaendesha kesi yako ya talaka, ya ajira, kesi yenu ya mirathi, na kesi ya kiwanja chenu! Hali hii utaipitia tu!

Uamuzi wa kuzuia shughuli za chama ni dk 10 tu, ila uamuzi wa kujitoa ambao ndo mwepesi inachukua wiki mbili! Zile haraka haraka za mwanzo zimeenda wapi? Reforms zinahitajika maeneo mengi!!!
"Baada ya majibizano ya kisheria ya pande zote mbili, Jaji Hamidu Mwanga ameomba wiki mbili za kuandika uamuzi wake kama atakubali kujitoa ama anakataa katika kesi hii. Uamuzi atatoa tarehe 28 Julai 2025, saa nne asubuhi." Wakili Dr. Rugemeleza Nshala.
Media zetu!!! Huwezi kusikiliza radio au tv siku hizi, hakuna cha maana kabisa!!! Unakuta 90% ni mambo ya umbea, muziki, michezo basi wakifanya siasa basi ujue ni z kusifu na kuabudu!!

Hawa ndo waandishi wetu!!! Angalia wanavyohangaika na wakosoaji mpaka wanatishia kuwatafuta kama vile na wao wanadola. Kama ni TP ni TP tu, waseme au wasiseme!!
Kanuni za Uchaguzi 2025 zina; 1. Uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi 2. Uangalizi wa Uchaguzi 3. Uteuzi wa wagombea na kampeni 4. Uteuzi wa Mawakala, Utaratibu wa upigaji kura na Kutangaza matokeo 5. Uteuzi wa wagombea wa viti maalum na mambo mengine. M/Kiti ndo katunga sio bunge!
