Tundu Antiphas Lissu
@TunduALissu
National Chairman @chademaTZ2 🇹🇿 | Former President of the Tanganyika Law Society | Activist
Here’s concrete evidence of ballot tampering orchestrated by NEC @TumeUchaguziTZ in favor of CCM. We urgently call for mass democratic action in retaliation to this shameless election fraud in TZ 🇹🇿! @robertamsterdam @WatchTanzania @hrw @amnesty @StateDRL #SasaBasi #NguvuYaUmma
Citizens in action! #Tanzania Citizens have confiscated bag full of filled ballots (all voting for CCM) outside the polling station. Interestingly the police officer assisted the citizens in this heroic act No free and fair elections - plain rigging! #TanzaniaDecides2020
Hon. Tundu Lissu's message from prison: Judge Hamidu Mwanga is Samia's judge, and because of that, he's a CCM judge doing CCM's work. Judge Mwanga was part of the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) under Jecha Salimu Jecha, which nullified the 2015 Zanzibar election. Can we…

Ujumbe kutoka gerezani wa Mh. @TunduALissu Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna…

"I condemn in the strongest possible terms the attack on Father Dr. Charles Kitima and the assault and ongoing beating of Mdude Nyagali. I hold President Samia and her government responsible for these heinous acts of terrorism. I call upon President Samia and her government to…
Chadema party officials met with the Prisons Department (Correctional Services) today, April 19, 2025. The meeting aimed to establish Hon. Tundu Lissu's whereabouts, and the department confirmed he is in their custody, having been transferred to the Ukonga facility. Admin.
Leo, Jumamosi, Aprili 19, 2025, viongozi wakuu wa chama wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mheshimiwa Tundu Lissu amehamishiwa katika Gereza la Ukonga. Admin.
Taarifa za kuaminika kutoka kwa wanasheria wa Mhe. Tundu Lissu na familia yake ni kwamba, Mh. Lissu ameondolewa kwenye gereza la Keko na msafara mkubwa. Zaidi, familia na marafiki wamezuiliwa kumtembelea tokea jana. Admin.
Credible reports from reliable sources, including Hon. Tundu Lissu's lawyers and family members, state that Mr. Lissu was driven out of Keko jail in an official government motorcade to an unknown location. Admin.
Breaking: Mwenyekiti wa chama Taifa, Mh. Tundu Lissu, amekamatwa na polis jioni hii, Mbinga, Songea. Mh. Lissu amekamatwa baada ya mkutano wa hadhara. Ukamataji huu umeongozwa na OCD na sababu za kukamatwa kwake hazijajulikana. Admin.
Breaking: Hon. Tundu Lissu has been arrested a little while ago in Mbinga, Songea. Mr. Lissu was arrested after addressing a public rally. Officer Commanding District (OCD) led the operation. Until now, it is unknown under what grounds Mr. Lissu has been arrested. Admin.
Tumepata heshima ya kukaribishwa na Mh. Raila Amolo Odinga ofisini kwake jijini Nairobi kwa ajili ya mazungumzo juu ya hali ya kisiasa nchini kwetu na harakati za mapambano ya kidemokrasia zinazoongozwa na chama chetu. Tumepata fursa ya kumweleza RAO juu ya msimamo wetu wa 'No…




Serikali ya Angola imezuia viongozi na wawakilishi zaidi ya 20 wa vyama mbalimbali vya siasa barani Afrika waliowasili Luanda mchana wa leo kwa ajili ya mkutano wa siku mbili wa vyama siasa uliokuwa ufanyike Benguela kuanzia kesho. Pamoja na mimi, kuna Makamu wa Kwanza wa Rais…
Angolan immigration authorities are holding up and denying entry into Angola for me and a delegation of more than twenty senior leaders and representatives of political parties from across southern Africa who arrived in Luanda earlier today for a planned two day meeting. The…
It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent Secretary at the Ministry of Health, was in Dodoma on govt business…



Debating Mwalimu's influence on the constitutional and political development of our East African countries at famous his alma mater. While UDSM, my own alma mater, and other universities in Tanzania have become jailhouses for free political thought and debates, Makerere, the…

Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa…

Changia M-Pesa: 0744 446 969, jina: CHADEMA HQ #NIMO #StrongerTogether #ToneTone



