Mpale Mpoki
@MpaleMpoki
Wao wana watu zaidi ya wanne katika kituo ambao wanaweza kusimama kama mawakala wakati wa zoezi. Tuwekee orodha ya watu wanaoruhusiwa ndani ya kituo ndio utajua
Wakala Chama haruhusiwi kuwa na simu kwenye kituo cha kupigia kura wala kurekodi video au sauti au kupiga picha. Hilo katazo kwa mbogamboga halina shida ila kwa wapinzani sasa ndo mchezo unaishia hapo hapo.
Ndio pattern na modus operandi ya nchi hii. Katiba yetu ya 1977 imefanyiwa marekebisho mara 14. Kati ya marekebisho hayo 14 ni rekebisho la 1984 lililoweka bill of rights ndilo limewekwa kwa ajili ya hoi polloi, rekebisho ambalo hata wenyewe hawaamini kwenye bill of rights
Kumbe mabadiliko mnataka ila yale yanayowanufaisha ? Sasa tunasema BADILINI SHERIA NA KATIBA tuwe na uchaguzi wa huru na wa haki na #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection
Tume huru Taifa ya uchaguzi, kama mke wa kaisari, haitakiwi kuwekewa shaka hata kidogo. Shaka ya kwanza kuhusu usafi wa matendo ya tume ni idadi rasmi ya wapiga kura waliojiandikisha ! Watu wana maswali ya msingi. Ili Kuondoa shaka wekeni wazi daftari la wapiga kura JISAFISHENI
You are working overtime @TumeUchaguziTZ 😁😁 Ila hakuna anayewaamini tunajua mmeandikisha hadi watoto wa shule na hamjatoa waliofariki Fungueni database tuhakiki! Nje ya hapo ni uongo tu! Zero legitimacy 🚮 #NoReformsNoElection
Waliokutwa na kura feki kwenye uchaguzi wa 2020 na 2024 na kupekwa polisi walichukuliwa hatua gani !!
Vyama vya siasa vingeji regulate vyenyewe na vitokane na chombo watakachounda kwa utashi Hii itafanya muundo ubadilike uwe sambaba na sababu za kuanzisha ofisi hiyo. Msajili mteule wa rais chini ya waziri mkuu, mipaka ya kazi imetungwa na bunge lenye wabunge wengi wa Chama kimoja
“Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. Msajili mwenyewe na wasaidizi wake ndio wahaini na wanatenda uhaini kwenye Nchi hii. Jaji Mtungi na Sisty Nyahoza wanachochea vurugu kwenye Nchi yetu.” Mkt James Mbatia.
Watendaji wa siku hadi siku wa DART wako wapi wao wangeongea, bodi ya ushauri ya DART wako wapi wangeweza kuongea juu ya hili. Waziri mwenye mamlaka ya DART yu wapi? Chalamila ni mkuu wa mkoa ambaye hausiki na DART kiutendaji na kiutawala ni raia tu kama waliopita dirishani
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila ameomba radhi kwa wakazi wa mkoa huo kwa changamoto iliyopo kwenye mabasi ya mradi wa mwendo kasi inayosababisha kusuasua mpaka kusababisha wananchi kushindwa kuyatumia mabasi hayo kwa urahisi. Chalamila ameyasema hayo leo Alhamisi…
Mahakama ya afrika mashariki ilisema kifungu cha 19 cha sheria ya huduma za Habari kinakiuka misingi ya mkataba wa kuanzishajumuia, Nchi ilielekezwa ibadili kifungu ili kiendane na mkataba wa jumuia. eacj.org/wp-content/upl… Tumepuuzia @MariaSTsehai @lifeofmshaba @Advocate_Jebra
NI ZAMU YA VYOMBO VYA HABARI..? Waandishi wa habari nguli na maarufu wa radio na TV maarufu hapa Jijini Dar es Salaam wamefungiwa na Bodi ya ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutangaza au kufanya kazi ya uandishi wa Habari kwa kile kinachoitwa "kushindwa kujisajili katika…
Polisi wanapeleleza polisi mwenzao. Haki itatendeka kweli hapo !!! Police oversight body ndio ingekuwa na jukumu la kufanya upelelezi kwenye masuala kama haya. Fungueni masikio msikie Acheni sarakasi @Advocate_Jebra @Mwabuk2Boniface @MariaSTsehai
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia askari wake wawili kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi na baadaye kusababisha kifo cha kijana mmoja aitwaye Frank Sanga (32), mkulima na mkazi wa Mtaa wa Kusenha, Kata ya Matumbulu, Jijini Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari…
On slide into a police state. The judiciary remarks !!! @Advocate_Jebra @Mwabuk2Boniface @MariaSTsehai
"Our constitutional ethos does not permit a slide into a police state mentality where executive convenience trumps citizen liberty". : #OrissaHighCourt #Article19 #RightToProtest
Court of law, in the real sense of the words, will issue such strong remarks while protecting the constitution. No mincing of words @Advocate_Jebra @Mwabuk2Boniface @MariaSTsehai
"...treating lawful protest as a security threat signals not the protection of order, but a breakdown of democratic confidence. A government confident in its legitimacy and support of law will engage with protesters, not banish them..." : #OrissaHighCourt #Article19
Targetted legislation Madhila yake utaweza kuyajua ukitafutilia na kusoma historia ya Edgar Tekere waziri wa Zimbabwe aliyeua mazungu na kujitetea kwa kinga ya kisheria iliyotungwa na wazungu wachache kabla ya uhuru. Sheria ni msumeno @Advocate_Jebra @MariaSTsehai @lifeofmshaba

Haki ya kusikilizwa ni haki ya kikatiba na kisheria. Uamuzi unaotolewa bila kusililizwa si uamuzi mbele ya sheria. Amri ya zuio CHADEMA hawakusililizwa. Ufafanuzi wa msajili kuhusu zuio CHADEMA haikusikilizwa @MariaSTsehai @Advocate_Jebra @HecheJohn @jjmnyika @TunduALissu
VIDEO: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao…
Kamwe Hukumu za mahakama hazifafanuliwi. Hukumu inawahusu wahusika wa kesi na sio watu wasiohusika na kesi. Msingi mkuu ni kuwa mdai lazima ajue PROPER PARTY na NECESSARY PARTY. Akikosea imekula kwake asitegemee huruma ya mjomba (msajili) @Advocate_Jebra @HecheJohn @MariaSTsehai
VIDEO: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao…
Tutaona mengi mpaka kufikia uchaguzi. Mamlaka ya msajili ipo kisheria na sijaona kwenye sheria ni wapi msajili amepewa mamlaka ya kutafsiri hukumu za mahakama. Hukumu zinawahsu wahusika katika kesi hazinyambulishwi @HecheJohn @rugemeleza @TunduALissu @MariaSTsehai @Advocate_Jebra
VIDEO: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao…