Jamii Forums
@JamiiForums
Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
CAMEROON: Tume ya Uchaguzi ya Taifa (#ELECAM) imekataa uteuzi wa Maurice Kamto, mpinzani mkuu wa Rais Paul Biya, kugombea katika uchaguzi wa Urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 12, 2025, huku sababu za kukataliwa zikiwa hazikuwekwa wazi, ambapo waliokataliwa wanaruhusiwa kukata…

DODOMA: Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umeidhinisha marekebisho ya Katiba ya chama hicho katika kikao kilichoongozwa na Samia Suluhu Hassan. Mkutano huo umefanyika kwa njia ya Mtandao, leo Julai 26, 2025, ambapo Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia aliendesha kikao…
Mdau katika Jukwaa la Celebrities la JamiiForums.com amehoji hatma ya Tuzo za Muziki Tanzania kwa Mwaka 2025, akieleza kuwa tofauti na miaka mitatu iliyopita, hadi sasa hakuna dalili za kufanyika kwake. Amebainisha kuwa Mwaka 2022 na 2023 tuzo hizo zilifanyika Aprili,…

DAR: Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya #CHADEMA na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika inaendelea leo Julai 28, 2025 katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar, ambapo Jaji anatarajiwa kutoa uamuzi…

DAR: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (#DART) kutafuta njia ya haraka kuboresha huduma ya usafiri wa Mwendokasi kwa maelezo kuwa inazidi kupungua ubora kila siku. Anasema "Mabasi ni machache na hali hiyo inalazimu Watu kukaa zaidi…


Kusoma kwa undani habari hizi na mengine yaliyojiri juma lililopita bofya jamii.app/YaliyojiriJuma… #JamiiAfrica #JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons



KENYA: Siku chache baada ya Waziri wa Fedha, John Mbadi kutangaza Serikali kushindwa kumudu gharama za elimu bure kwa Shule za Msingi na Sekondari kutokana na ongezeko la Wanafunzi, Viongozi wa Kisiasa na Wadau wa elimu wamesisitiza ni wajibu wa Serikali kuhakikisha elimu bure…

PWANI: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa taarifa kuwa imeanza kufikisha miundombinu ya ujenzi katika Mradi wa Maji Pangani – Kibaha kwa kuweka mabomba ya kusafirisha maji ya ukubwa wa inchi 6 yatakayolazwa kwa Mita 1,100, ikiwa ni utekelezaji…



Jitahidi kujipa nafasi ya kupumzika na kufurahia hata mara moja kwa wiki, ni zawadi kwa mwili na akili yako kutoka kwenye pilikapilika za maisha ya kila siku. Ni namna ya kujithamini, kujipenda na kujiandaa kukabiliana na changamoto mpya kwa utulivu na umakini. Tembelea…

Baada ya kupitisha mabadiliko ya katiba leo Julai 26, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watajitahidi kuingiza vijana wengi kwenye nafasi hizo za uwakilishi. Amesema "Na sasa mnatupa nguvu ya kuanza hii kazi ya kuchuja kesho. Kesho tutaanza rasmi, tutakaa kamati ya maadili kupitia…
DAR: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka kurekebisha Taa za kuongoza Magari eneo la Mnazi Mmoja akidai haziwaki inavyotakiwa. Anadai zikirekebishwa itapunguza au kuondoa msuguano unaojitokeza kati ya Madereva dhidi ya Askari wanaosimamia, akidai baadhi yao…



MAREKANI: Kocha Ruben Amorim amesema yupo tayari kuwarejesha kwenye kikosi chake cha #ManchesterUnited ambao hawapo kwenye mipango yake kama hakutakuwa na timu itakayofikia kiwango cha bei kinachotakiwa na klabu ili kuwauza. Wachezaji hao ni Alejandro Garnacho, Jadon Sancho,…

Mdau wa JamiiForums.com kutoka Jukwaa la Siasa amehoji vitendo vya Wanasiasa hasa Wagombea wanapopewa nafasi ya kuhutubia katika nyumba za ibada, inasaidia kudumisha amani na maadili ya Uchaguzi au wanachangia kuvuruga mwelekeo wa Wapiga Kura kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba…

TABORA: Baada ya malalamiko yaliyoibuliwa na Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuhusu Mwanamke Mkazi wa Kijiji cha Izumba Mkoani Tabora, kudai kuombwa fedha na Askari wa Kituo cha Polisi Kigwa kwa kushirikiana na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kigwa ili mume wake aachiwe…
DODOMA: Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu amesema "Imependekezwa marekebisho ya Ibara ya 105(7F) na Ibara ya 91(6C) kwa kuongeza maneno ‘isipokuwa kama Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa itaamua vinginevyo’." Marekebisho hayo…
DODOMA: Mwenyekiti wa #CCM, Samia Suluhu akizungumza katika Mkutano wa maboresho ya Katiba ya Chama hicho amewambia Wanachama kuwa kuna baadhi ya maeneo wamejitokeza wagombea mpaka 40, hivyo isingekuwa busara kwenda na majina matatu pekee. Mabadiliko hayo yamepita ambako sasa…
DODOMA: Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amesema Wapiga Kura wapya waliojiandikisha katika Daftari la Kupiga Kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni Milioni 7.6 sawa na 136.79% ya makadirio ya awali. Takwimu nyingine ni Wapiga…
DODOMA: Akizungumza katika uzinduzi wa ratiba ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Tanzania Bara, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amesema jumla ya Wapiga Kura walioandikishwa kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 ni Milioni 37.6. Aliongeza…
DODOMA: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwa Mwaka 2025 ambapo tarehe rasmi ya kupiga Kura ni Jumatano ya Oktoba 29, 2025. Zaidi soma jamii.app/RatibaYaINEC #JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025 #Democracy #JamiiAfrica
ZANZIBAR: Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (#PDPC), Innocent Mungy ameeleza umuhimu wa Tume kusimamia ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa kusema "Tunalinda zisiende kwenye mikono isiyo sawa, isiyoruhusiwa kuwa na matumizi ya hizo taarifa." Ameeleza…