Citizen TV Kenya
@citizentvkenya
Kenya's Premier TV Station. Breaking News / Entertainment / Your Favorite Local TV Shows. Follow us on http://instagram.com/citizentvkenya
KAIKAI'S KICKER: Rigging - The real test for IEBC in 2027 citizen.digital/opinion-blogs/…
Rogaroga yabamba Bungoma: Kipindi cha RogaRoga charindima mubashara kutoka Bungoma #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Kapaito returns to Tusker after Namungo sojourn citizen.digital/sports/kapaito…
DR Congo and Morocco are the most successful teams in CHAN tournament with two titles each

Biker Nairobi: Brayo the Biker on why he prefers to remain faceless, his sudden rise to fame citizen.digital/citizen-origin…
Maandalizi ya voliboli ya Afrika: Mchuano wa wasichana U20 kuandaliwa Cameroon Kenya ilimaliza ya nne katika awamu iliyopita #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Mexico star Hernandez sorry for sexist comments citizen.digital/sports/mexico-…
Majadiliano ya kitaifa: Baadhi ya viongozi wa Garissa waunga mkono majadiliano Korane: Maandamano huathiri sana uchumi wa taifa #SemaNaCitizen @swalehmdoe
EACC recovers Gov't land worth Ksh.65 million in Eldoret citizen.digital/news/eacc-reco…
Uhusiano wa Kenya-China: Kenya na China zaendeleza uhusiano mwema wa kidiplomasia Kenya yashirikiana na China kwenye nyanja za usalama na miradi #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Ushirikiano wa Kenya-Uingereza: Kenya na Uingereza zashirikiana katika masuala ya teknolojia Uingereza na Kenya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Maradhi ya ngozi Busia: Maradhi ya ngozi yaathiri wakazi wengi wa kaunti ya Busia Ukurutu, Vipele, Ulemavu wa Ngozi na Vitilingo waathiri wengi #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Mabadiliko ya tabianchi: Kongamano kuhusu mazingira lafanyika Mombasa #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Fidia ya wakulima Nyatike: Wakulima walipwa fidia ya mashamba ya Nyakite, Migori #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Acheni kampeni za siasa! Baraza la wazee wa Keburwo lawataka wanasiasa kuzima kampeni #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Umasikini waathiri elimu Vihiga: Wazazi wengi washindwa kulipa karo kaunti ya Vihiga #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Msafara wa M-PESA sokoni: Msafara wa Safaricom M-PESA sokoni unakamilika leo Msafara wa leo utapitia Chuka kisha Runyenjes na Embu Safaricom inaadhimisha miaka 18 ya huduma za M-PESA Safaricom inashirikiana na kampuni ya Royal Media Services #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Operesheni rejesha bunduki: Waziri Murkomen asema bunduki 1,000 zimerejeshwa Kerio Valley Serikali kuanzisha operesheni ya kusaka bunduki haramu Wanaomiliki bunduki haramu watakiwa kuzirejesha #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Uhaba wa hela shuleni: Huenda shule nyingi zikafungwa mapema Trans Nzoia #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Kampeni dhidi ya mihadarati: Wawekezaji wa utalii waanzisha kampeni dhidi ya mihadarati Kampeni ya kupambana na dawa za kulevya yazinduliwa watamu #SemaNaCitizen @swalehmdoe