her🌺
@vee__alex
JESUS IS LORD. A Wife to my better half❤️ A mother to my adorable babies🥰 A Godly woman🌸
Zaburi 34 1 Nitamhimidi Bwana kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima. 2 Katika Bwana nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie wakafurahi. 3 Mtukuzeni Bwana pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja.
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani. Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake. [Zaburi 113:7-8]
"Kwa kila jambo kuna majira yake, na kwa kila kusudi chini ya mbingu kuna wakati wake." Mhubiri 3:1 Hili neno linatukumbusha nyakati nzuri na mbaya zina exist. Kama uliwahi kuwa na nzuri, wakati wa mbaya usione kama Dunia imekuangukia. Ni majira tuu, Hang on there🙏🏼
Top 66 greatest books of all time: 1. Genesis 2. Exodus 3. Leviticus 4. Numbers 5. Deuteronomy 6. Joshua 7. Judges 8. Ruth 9. 1 Samuel 10. 2 Samuel 11. 1 Kings 12. 2 Kings 13. 1 Chronicles 14. 2 Chronicles 15. Ezra 16. Nehemiah 17. Esther 18. Job 19. Psalms 20. Proverbs 21.…
Isaya 43:2 [2]Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
Satan wants you to believe: • purity doesn’t matter • everyone gossips, it’s harmless • hookup culture is normal • a career will fulfil you • God’s Word is outdated • you need validation from strangers • living together before marriage is wise • your feelings are always…
Nikufananishe Na nani upate kua sawa nae Bwana wewe U Mtakatifu Muumba wa miisho ya dunia.🎶
Tasty Morning Smoothie To Flatten Your Belly🍌🍍
2 Timotheo 1:7 [7]Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi. For God hath not given us the spirit of fear; but of power, and of love, and of a sound mind.
Dear young dads, USIPELEKE mtoto kanisani halafu wewe ukabaki kwenye gari. Unamharibu. Ibada, hata kama inaboa, huwa na thamani kwao pale watoto wamwonapo baba anashiriki. Labda home waliwahi kuona unafumba macho, lakini wamwone baba akifunga macho kanisani anakuwaje. It's…
Yes, nothing. Absolutely Nothing...
Wait! So nothing happened to those who refused to take COVID-19 vaccine? 😳😭
So 🇹🇿 ndio vipanga wa Africa🙌😆
African Countries and their Nicknames South Africa 🇿🇦 – Rainbow Nation Nigeria 🇳🇬 - Giant of Africa Ghana 🇬🇭 - Gateway to Africa Rwanda 🇷🇼 - Land of a Thousand Hills Uganda 🇺🇬 - The Pearl of Africa Madagascar 🇲🇬 – The Red Island Burundi 🇧🇮 - Heart of Africa Lesotho 🇱🇸 –…
Majirani hamtaki tukuwe brain yenyu nyoote Africa😆mnataka nini
😂😂😂 I was like..TF?
Matthew 19:14 But Jesus said, “Let the children alone, and do not hinder them from coming to Me; for the kingdom of heaven belongs to such as these.”