ASTRA
@TzAstra2014
hacking for Public interest
🌟Tumechoka hata Sisi Jeshi la Polisi tuna ndugu na jamaa ndo Wana interact na watanzania Hawa Hawa mnaotuma wenzetu wenye vyeo vidogo wakawanyanyase! NITASEMA KWELI KWELI KWELI NA MUNGU ANIWEKE,
If the Tanzanian government upholds the ban on the opposition, what’s the point of this process? President Hassan might as well appoint whoever she wants, rather than wasting taxpayer money. Without the necessary reforms, there can be no real election. #NoReformsNoElection
Tanzania’s ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), on Saturday, June 28 officially launched the process for collecting and returning nomination forms for those seeking the party’s endorsement in councillorship, parliamentary and representative positions ahead of the October 2025…
Mlio karibu tupeni taarifa maana Watauana na mauchaguzi Yao haramu

Ajira hapo anawatafutia vitukuu vyake pesa, alisha kamilisha ya watoto wake na wajukuu zake,

Wabunge wa CCM wanaotaka kuendelea na Ubunge na Rushwa walizotoa zinachanganya akili hivi kwenye Ubunge kuna nini? Mmekuwa watu wa hovyo sana na kuanzia week hii watu wataanza kusingiziwa na Kuwakwa rumande tuna mengi , na Askari wanahongwa
Kuna Jamaa anaitwa @rollymsouth humu kaa rada please something being prepared for you! Kazi yangu ni ku alert watu! Makongo juu Askari anaitwa Adolfu amepewa infor zako zote na movements
Alivyo na tamaa mzanzibar yule, anataka yeye tu ndio anafaa. Angeruhusu mchakato watu wachukue fomu yeye asimamie zoezi watu wapige kazi....aache tamaa tu sababu hata uzalendo hana kutukana wabeba mabango tu na mipasho ndio anazimudu
Wanaotukanwa ni wale wanaojiona safi kwenye kusifia ujinga hata kwenye mambo ya msingi 1.Kutukuza wauaji na watekaji 2.Kufifisha hatua za watanzania katika kupigania mambo ya msingi 3. Kusherekea anguko la misingi ya watanzania (yaan mtu anasifia mtu mtekaji, muuaji na Mbakaji…
Kaka heche umewekewa mtego na ukiwa bila ulinzi Imara unapigwa risasi kaka! Please mipango si mizuri kaka uwe na kujilinda kwa hakika