Mwacha
@Mwacha5
To dare is to do. #wakuretweetHQ
Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Klabu yetu Eng. Hersi Said. @Caamil8 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
The LORD has saved us! Let's celebrate. We waited and hoped— now our God is here. Isaiah 25:9
Brother, Usimuoe Kwa Kumuonea Huruma Ya Muda Mrefu Mliodumu Pamoja Kwenye Mahusiano,Muoe Kwa Sababu Ana Vigezo Muhimu Vya Kuwa Mke Unayemtaka.
Usilipie king’amuzi kuangalia mpira, Fanya hii mbinu na upate channel za Mpira Bureee Video kwenye Comments👇🏽
Hello Dears ♥️ Ukimcha Mungu na kufanya ibada kwa kumaanisha utaanza kuelewa maana halisi ya hili neno furaha halafu unakua na amani flani hivi ambayo huwezi kuipata kwa kufanya jambo jingine lolote lile isipokua katika ibada tu🙏 AMANI IWE NANYI NAWAPENDA WOTE 🥰♥️
Don’t copy the behavior and customs of this world but let God transform you into a new person by changing the way you think. Romans 12:2
Somo la kwanza la leo lilikuw linaongelea watu wa Sodoma na Gomora wenye dhambi,limetuonesha jinsi Abrahamu alivokuwa na upendo juu ya watu wake, hata kwa wale ambao hakuwafahamu bila ubaguzi ,tuwe kama Abrahamu watu wenye moyo uliojaa upendo kwa kila mtu jumapili njema .
#TajiriLaKihaya 10kms …. 2hrs:22mins - Na hapo nimekesha sijalala😅😂🙌🏽🙌🏽
As the deer longs for streams of water, I long for You, O God. Psalm 42:1
JKT Tanzania🇹🇿 tumefikia makubaliano ya pande zote mbili na mchezaji wetu Wilson Nangu kuwa leo tutamtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa wala sio kitu kingine😅 Happy birthday Wilson Edwin Nangu💪 #WajengaNchi #KichapoChaKizalendo
Good morning, Tupost afu twende ibadaniii DEEP FRYER 4L TSH 80,000 0755 693 113 📍 UBUNGO EXTERNAL KARIBU NA MARIOTI HOTEL MIKOA YOTE TUNATUMA
Good morning wapendwa WHITE DINNER SET KAMA ILIVYO PICHANI TSH 50,000 0755 693 113 📍 DUKA LIPO UBUNGO EXTERNAL, MIKOA YOTE TUNATUMA @Sativa255 @MiriamMkanaka
KOU-Magic afunguka sababu ya kuichagua Young Africans SC Tazama Episode ya 5 ya #TransferTalk ndani ya Yanga TV(youtube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Haina Kupoa! Wananchi tukutane saa 7:30 mchana🔥 Download na lipia Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Abubakar Nizar ni Mwananchi🔰 Karibu Young Africans SC👊🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko