Rebecca Mwankenja
@mwanken1
Let's stand with him and his family #FreeMwabiliMwagodi
Endelea na busara zako za kukaa kimya. Achana namm Mimi sio wewe ukisikia milio ya risasi unakimbilia uvunguni kwasbb mimi sio muoga kama wewe. Unaweza kutombewa mke na wewe ukageuzwa na usifanye kitu ilimradi ubaki mzima unapumua. I will never walk under their feet maisha.
Kila ninapo jaribu kuona kuwa kila kitu ni kawaida inakuja picha ya Ndugu zangu hawa...Hawa ni Kaka,Baba,Watoto na Watanzania wenzetu . Kosa lao kubwa nikueleza hisia zao katika kile wanacho kiamini.HUU NI UHAI .MWENYE RIDHAA YA KUTOA UHAI NI MUNGU TUU. Tuitishe na kudai…
HABARI MBAYA JUU YA USHAHIDI WA SIRI. Hivi karibuni, angalau watu 92 wamefungwa kwa ushahidi wa siri. Wamefungwa bila kuwaona na kuwadodosa mashahidi. Bila kusikilizwa. Hii si haki. Sasa Mahakama imetunga Kanuni kusaidia utekelezaji wa uholela huu. Analengwa SC Tundu Lissu.
#FreeTunduLissu #FreeMdudeNyagali #FreeAllAbductees #NRNE #HMHU
Mwana DIPLOMASIA wenu kajimaliza kiboya sana kwa sababu ya UPAMBE wale kwa Samia hii imekula kwake forever
This is too much! Utekaji ni UKATILI na USHAMBA! @SuluhuSamia kitakuramba sijui nani kakudanganya haya mambo! #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi
Ndugai alifanya uchafu bungeni, akifikiria yeye ni Mungu CCM hawa hawa wamemsurubu Ndio maana mifumo ya haki ni muhumu inalinda utu
Those who committed these acts against Africans have no right to lecture us on human rights.
Hapa ni Butiama mhe mkt wakati huo akiwa makamo mkt akila ngoma ya asili Mungu akutunze mhe mkt Yule Mungu aliyekuokoa na risasi 16 naamini yupo bado atakuokoa na haya yanayokukabili Mungu atakutoa gerezani utakuwa huru na kuwatumikia watanzania wote bila kinyongo
Mapema leo team A ya mkoa wa Mbeya imeendelea na kutoa semina pamoja na mafunzo kwa viongozi mbalimbali kamati ya utendaji ya wilaya na majimbo Na leo 25.07.2025 yamefanyika jimbo la Rungwe yakiongozwa na mkiti wa mkoa #MhMasagakaroli #NOREFORMSNOELECTION
Habari za muda huu Wapendwa, naamini sote tuko salama. Ndugu zangu anayeonekana hapa Anaitwa Julius Anael Mwanga wa Masama sonu. Ndugu yetu huyu ameondoka nyumbani kwake siku ya Jumanne tar 22.07.2025 na hadi sasa hajarudi nyumbani na wala hajulikani Alipo. Tunawaomba yeyote…
😁😁 Watu wanauliza @SuluhuSamia mbona uliondoka ghafla sana bila hotuba hata salamu? Things are boiling nicely on the ground in #Tanzania 🔥
Bila shaka bunge lilianza kuharibikia kwenye mikono ya huyo speaker
#FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabiliMwagodi
Mbogamboga wanapelekewa moto wa kutosha habari ni #NoReformNoElection