Abdulkarim Juma
@JumaAbdukarim
A forum of thought and perspectives designed to ignite human right and democrac # revolutionary activist for radical change in Tanzania. team #katibampya.
Kumbe mabadiliko mnataka ila yale yanayowanufaisha ? Sasa tunasema BADILINI SHERIA NA KATIBA tuwe na uchaguzi wa huru na wa haki na #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wameamua kurekebisha Katiba ya Chama cha Mapinduzi ili kuruhusu Kamati Kuu ya CCM Taifa iwe na nafasi ya kuteua Wagombea wengine nje ya majina hayo matatu yaliyopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na…
“When ‘I’ is replaced with ‘we’ even illness becomes wellness.” Brother Malcolm X
We dedicate our lives katoka justice. Kama watawala dhalimu mmeamua kutujibu Kwa bunduki na mabomu huku mkituteka na kutupoteza tuwahakikishie hatutanyamaza hata Kwa sekunde kazi yetu ni moja tu kuwakabili Kwa ushenzi wenu. @mdudenyagali @Mpigakura2020

Siku ambayo Mungu aliamua kumchukua Mzee Newton sio tu nilimpoteza Baba angu mzazi, nlimpoteza rafiki angu kipenzi, mtu ambae nilikua na uwezo wa kushare nae jambo lolote lile ambalo linahusu maisha yangu yote kwa ujumla wake. Unaenda mwaka wa pili sasa lakin nimeshindwa kabisa…
Hongera Mwenyekiti wa CHASO DIT, @DarChaso ina jivunia kuwa na wewe. Wanafunzi wanakosa wa kuwasemea kwa sababu @TahlisoOfficial imetekwa na kikundi cha watu Tuwasemea wanafunzi, hatutaacha mpaka tahliso itakapokuwa huru #NoReformsNoElection
This is Mwabili Mwagodi's sister at DCI Kilimani Police Station. They have been harassed and turned away. Mwabili Mwagodi needs us. He's one of us and his powerful voice has kept this movement alive. We MUST come out and speak in solidarity for Mwabili Mwagodi.…
Wananchi ndio waanzilishi wa kutaka mabadiliko chadema tunasimamia maadhimio yao yanayohitajika ma wao . #NoReformsNoElections .
Mapema leo hii Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa @AdvMahinyila akizungumza mara baada ya dua maalum ambayo imefanyika kwa akili ya kumuombea Mhe. @TunduALissu. #FreeTunduLissu
Continue standing in solidarity with Mwabili Mwagodi Before you sleep, reply to this post with the #FreeMwabiliMwagodi
My book, LIVING WITH CANCER: DIARIES OF A MULTIPLE MYELOMA PATIENT will be launched Tuesday 29 July 2025 at Four Points by Sheraton (New Africa Hotel). The chief guest will be Hon. Doto Biteko, Deputy Prime Minister and Minister of Energy. You are most welcome. #MultipleMyeloma
Prof. Paramagamba Kabudi ni Msomi alieamua Kua CHAWA kwa Mtawala, Huyu Mzee anaelimu Nzuri Kabisaa ni Nguli wa Sheria, Huyu alitakiwa Kua Hazina ya TAIFA hili Kutusaidia Kuchambua Mikataba Mbali-Mbali... ila Kwamakusudi ameamua Kua CHAWA na Akili kaweka TUMBONI inaumiza Sanaa..!
#TANZANIA: UKIMYA WA SERIKALI YA TANZANIA DHIDI YA UTEKAJI WAKOSELEWA Tazama Zaidi: youtu.be/YC76__o6gQI
Dakika 40 za mahojiano ya mh @HecheJohn akiwa ndani ya WASAFI FM. KULA SHULE HAPA KABLA HUJALALA. REPOST 200 #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵😎
🤣🤣🤣 hadi huruma! CCM hii eti chama dume mmewekwa Kibanda umiza na matambara mnapewa maagizo kupitia Zoom na Bi Kizimkazi! Very sad! Eniwei #TutaelewanaTu
NEC , Hamuwezi tena kujificha nyuma ya nembo ya “uhuru na haki” huku mkiendesha uchaguzi kwa masharti ya chama tawala. Mmevua ngozi ya heshima sasa mmebaki kuwa kiungo cha dhuluma. Hatuwezi tena kurudi kwenye uchaguzi wa kukisia na wa kuficha matokeo, wa kuzuia mawakala, na wa…
Twende kazi ✊🏽🔥 #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili Acha kutuaibisha @SuluhuSamia #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili
Mwabili is being held by Tanzania’s security agencies. @SuluhuSamia’s government is openly and obviously targeting Kenyans in Tanzania. #FreeMwabiliMwagodi