Think Different
@lifeofmshaba
#ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |
#ChangeTanzania kwa sasa tunapatikana katika mtandao wa TIKTOK pia kupitia link tiktok.com/@officialchang… Malengo ya jukwaa leo siku zote ni kujenga vuguvugu la wananchi, fuatana nasi katika mtandao huu wa TIKTOK
Tanzanian President @SuluhuSamia and her rogue security operatives need to be stopped for heaven’s sake! And her fellow East African dictators that are now helping each other to kidnap, torture and kill! #FreeMwabiliMwagodi
We made this meme in #Tanzania because Faustin Mafwele is the one behind the notorious and deadly “task force” that abducts, tortures and kills citizens! He was the one also named by @bonifacemwangi and @AAgather in the lawsuit - he gor a promotion few months ago and is the Dar…
#FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili
STATEMENT: Alarm Over Abduction of Kenyan Activist Mwabili Mwagodi Amnesty International Kenya is deeply concerned by the reported abduction and disappearance of Kenyan human rights defender Mwabili Mwagodi, last seen in Dar es Salaam, Tanzania, on Wednesday, 23 July 2025. This…
Siasa, utawala bora , na ushiwishi CCM imeshafeli hapa ni itaangulia wapi ndio issue kama itakuwa peoples Power or internal struggle it doesn’t matter anymore CCM imefia mikononi mwa Samia
Kwahiyo wagombea watatu kwenye ubunge sio busara ila mgombea mmoja urais ni busara? Hizi akili za wapi?😂😂😂
Dear World #TellSamia @SuluhuSamia to #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #FreeMwabili #FreeMwabiliMwagodi #Tanzania
Polepole: CCM inapoteza mwelekeo, “Wahuni” wameingia ndani ya chama mwanzotv.com/polepole-ccm-i…
Mwabili is being held by Tanzania’s security agencies. @SuluhuSamia’s government is openly and obviously targeting Kenyans in Tanzania. #FreeMwabiliMwagodi
#TANZANIA: UKIMYA WA SERIKALI YA TANZANIA DHIDI YA UTEKAJI WAKOSELEWA Tazama Zaidi: youtu.be/YC76__o6gQI
VIDEO: Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini kushiriki katika kuombea amani, haki na viongozi wanaokumbwa na changamoto.…
Hivi ndivyo jiji la Mwanza lilipaswa liwe. Na hii ndio Mwanza inavyoweza kuwa chini ya uongozi wenye maono. Ndoto yetu ni kubadilisha Hii Nchi iwe mahali pazuri kuishi na destination bora ya utalii. #NorefomsNoelection
Mwanaharakati wa Kenya ametekwa na watu wasiojulikana nchini Tanzania. Hivi Serikali ya Idd Amin Mama inajua ni ujumbe gani inatuma uko Duniani?
Can we as a nation 🇹🇿 and as a region @jumuiya agree that ABDUCTIONS need to end? It’s not asking for much 🙄 Like detain, charge but DO NOT ABDUCT! While you are in power do NOT weaponize state security to respond to your critics instead invest in PR and respond to criticism! If…
Tunakuja na KATIBA YA MAMA Tunaipitishaa kwa laptop, chama chetu kinaruhusu katiba kubadilisha hata stationary kama kuna laptop — CPA MAKALA
Hivi Rais huwa anajisikiaje moyoni pale anapokuwa anainama kuweka shada la maua kwenye kaburi au mnara wa mashujaa walioifia nchi? Halafu akakumbuka watu wanavyokula good time kwa kuuza kila mradi bila uchungu wowote!🤔
Mwabili Mwagodi’s safety and security is the SOLE RESPONSBILITY of the government of @SuluhuSamia as he is legally working and residing in Tanzania He was abducted in Dar es Salaam in typical #EnforcedDisappearance Modus operandi meaning this is STATE SANCTIONED! This is a…
Kila ninapo jaribu kuona kuwa kila kitu ni kawaida inakuja picha ya Ndugu zangu hawa...Hawa ni Kaka,Baba,Watoto na Watanzania wenzetu . Kosa lao kubwa nikueleza hisia zao katika kile wanacho kiamini.HUU NI UHAI .MWENYE RIDHAA YA KUTOA UHAI NI MUNGU TUU. Tuitishe na kudai…
Nini viashiria vya rushwa?Rushwa siyo lazima iwe pesa. Hata fadhila 1. Kesi kucheleweshwa bila sababu za msingi. 2. Kutotenda haki kwa wakati. 3. Kuzuia mazingira ya uwazi katika mahakamani 4. Mashahidi wa siri Kesi ya TAL inapopigwa tarehe bila sababu za kutosha siyo rushwa?
Mbaya Zaidi Mwenyekiti Wao akipewa USHAURI ana-Nuna!!... "Rais asiekubalika Kila KONA"