Hamadi.Mbeyale馃敟馃敟
@hamadimbeyale
KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MBEYA 2024 & 2029. #Mwanaharakati wa upinzani #Katiba mpya ni sasa #Aluta continue...
Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi. ~1 Wakorintho 3:17
Team B inayoongozwa na katibu wa mkoa wa mbeya tumeendelea leo 26.07.2025 na Ziara yetu ya semina, mafunzo jimbo la Lupa_chunya kwa wajumbe wa kamati ya utendaji. Hata hivyo wamepokea maelekezo na maagizo pamoja na mafunzo ambayo wamepatiwa. Hamadi Mbeyale Katibu CDM Mbeya.



Tuna taka mawakala wa vyama vya siasa waruhusiwe kuwa na mawasiliano na wagombea wao pamoja na chama chake kwa utaratibu utakaopangwa ,kama ambavyo wengine wanaohusika katika chumba hicho kuwa na mawasiliano (simu). No Reforms No Election.
Wananchi ndio waanzilishi wa kutaka mabadiliko chadema tunasimamia maadhimio yao yanayohitajika ma wao . #NoReformsNoElections .
Ahsante sana dada yangu na kamanda mwenzangu .
Hongera sana Mbeya kwa kazi nzuri.
Nchi hii ni yetu sote hakuna anayestahili kupata maslahi zaidi ya mwingine. Tanzania yetu hatuhitaji kuona siasa ya vyama vingi ya kinadharia bali tunahitaji kuona siasa ya vyama vingi kwa vitendo. Reforms ndio Mwarobaini wa janga hili.

Mapema leo team A ya mkoa wa Mbeya imeendelea na kutoa semina pamoja na mafunzo kwa viongozi mbalimbali kamati ya utendaji ya wilaya na majimbo Na leo 25.07.2025 yamefanyika jimbo la Rungwe yakiongozwa na mkiti wa mkoa #MhMasagakaroli #NOREFORMSNOELECTION




Leo 25.07.2025 Mafunzo na semina kwa kamati ya utendaji ya wilaya ya Mbarali yametolewa leo na Viongozi wa mkoa wakiongozwa na katibu wa mkoa yaliyohusisha viongozi wa kamati ya utendaji na yamepokelewa kwa utekelezaji zaidi. Hamadi Mbeyale Katibu CDM mkoa wa Mbeya.



Nasikia uko kwenye magroup ya Maccm kimeweka wajumbe wanataka Mkutano Mkuu wa Physically hawataki mambo ya online. Wanataka mkutano uitishwe, wapelekewe majina matatu ya waogombea Urais ili wapigie kura mmoja. Imefika hatua Mwenyekiti wao Taifa anaogopa wajumbe wa Mkutano Mkuu

Nitakuwa na Press conference Jumapili 27.07.2025 Juu ya jambo hili mahali na Muda nitawajuza soon.

Tukutane field Aluta continue #NoReformsNoElection. Mbeya stand up.

Naendelea kutoa wito naku kupaza sauti kwa serikali na vyombo vya Dora kuwa muachieni @mdudenyagali aungane na familia yake. Huyu ni mtoto wake ambaye mumemteka baba yake mbele yake anahitaji malezi yake ,Mnatengeneza Taifa la laana ,hatutanyamaza kimya hakuna aliye salama.

Mkuu wa polisi wilaya ya kyela ,tutakupeleka mahakamani kwa matumizi mabaya ya nafasi yako ,hakuna mahali viongozi wa chadema kyela waliitwa mahakaman juu ya tuhuma zozote . Na hivyo naelekeza #chademakyela maandalizi yaendelee kama yalivyopangwa kwani sababu hazina mashiko.

Hatutatiki na Baiskeli tutazitumia kubebea kuni na sio kujenga chama chako. Hawa walindwe
Watanzania tumjibu kwa kumpa like nyingi na comment zimfikie Sisi tunamaanisha

*HALI YA SASA YA CHADEMA IPOJE?* *Msikilize Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. John Heche akieleza hali ya chama ilivyo kwasasa alipokuwa akihojiwa na Upendo Tv leo tarehe 21-07-2025.* *#NoReformsNoElection* *#FreeTunduLissu*
#VIDEO "Siasa ni Maisha hatuwezi kuishi nje ya Siasa yaani kama unasema siasa hainihusu haujielewei, wewe unaishi hivi unavyoishi kwa sababu ya Siasa siasa ndiyo inayotengeneza nchi Ni lazima tuingie Katika Siasa"-Askofu Sikombe