Lucas Ngoto
@lucas_ngoto
Hapa ni Butiama mhe mkt wakati huo akiwa makamo mkt akila ngoma ya asili Mungu akutunze mhe mkt Yule Mungu aliyekuokoa na risasi 16 naamini yupo bado atakuokoa na haya yanayokukabili Mungu atakutoa gerezani utakuwa huru na kuwatumikia watanzania wote bila kinyongo
Umepewa tshart,ubwabwa maharage yakiwa juu unaweza kuongea neno tofauti na unaloelekezwa Hata jina ukiambiwa badili unabadili haraka sana
Bariadi mjini Chadema ipo mioyoni mwa watu Wafanye reform waone kitakachotokea
Hayo mabadiliko katikati ya uchaguzi ama sio ya kuhusu uchaguzi wa mwaka huu Acha tusubilie hayo mabadiliko yenyewe

Kumbe hii hoja ya huu sio utaratibu wetu iliaza zamani Kwa hiyo lusinde na wajumbe walitaka kuwafanya nini. Ila mwenyekiti kastuka
Mhe mwenyekiti mstafu alishasema atakuwa wa mwisho wa kukihujumu hiki chama Hiki chama kipo kwenye damu yake Mungu awe na mhe mwenyekiti yasitokee wanayofikilia watu dhidi yake
Mwenyekiti bavicha jimbo Geita mjini amechukuliwa na watu wanaodaiwa ni police jana trh 18.7.2025 mpaka sasa hajulikani alipo Tukisema haya mambo ya kutekana yapo wapo wanaobeza Mwachieni mbeshi aendelee na shughuli zake kama mtanzania

MWEZI WA KUMI SIO KARIBU SERIKALI ACHENI KUZIBA MASIKIO FANYENI REFORM Nchi iungane pamoja Tanzania ndo nchi yetu sote
Nimecheka utafikiri mazuri Kwamba Chauma itashinda nini? Labda njaa

Msemaji kama msemaji Ungesema pia alikamatwa uwanja wa ndege wa jk wakati akijiandaa kuondoka kwenda uk Kwamba ukitaka kusafiri tu nje ya nchi inakuwa nongwa Free magere

Ningebahatika kupata nafasi ya kumshauri huyu mzee ningemwambia asichukuwe kabisa fomu Wakakutoa uspika bado unadhani wanakupenda na kukuhitaji Washauri wa Majaliwa wapo makini sana

Wao kwa wao tu wananyimana fomu Wanataka kufanya chama na Taifa kama mali yao Vyombo vya dola vilinde uchaguzi kwa usawa sio kuisaidia ccm halafu ccm wanatamba kuwa wameshinda na kupendwa Hawapendwi ndo maana wanatumia dola kupata dola

NATOA WITO KWA JESHI LA POLICE NA UHAMIAJI KUMUACHIA NDUGU MEGERE AMBAYE WAMEMKAMATA AKIWA UWANJA WA NDEGE WA JK KUELEKEA UK KUENDELEZA MAMBO HAYA NI KUIONYESHA DUNIA NA WATZ KUWA SERIKALI INA CHUKI YA WAZI NA CHADEMA NA INAFANYA SIASA NA CHADEMA KWA KUTUMIA MADARAKA YAKE
