Mreno_🧶
@mreno255
Die fan of @ManUtd,Arusha4Life☎️ 1.Nauza FURNITURES(bedsofa,makabati,masofa na magodoro) 2.Naprint picha mbao 📸🖼️
Haya ndio maisha ya Kweli 🥹🙌🏿nimekuta hawa Madogo wanasoma kwa mwanga wa taa za barabarani wakati mama zao wanauza nyanya 🙌🏿

Mke wako kaenda Marathon Dodoma na watu wa ofisini kwake na wewe umebaki Dar na watoto.
Wanakusubiri hadi ubake mtoto/mfugo ndipo waanze kusema sasa si angetuomba tu sisi watu wazima.!!🤒 #Tutakuwepo
Utasahaulika na maisha yataendelea, Jipende, furahia ulicho nacho kisha ishi maisha yako❤, Tunaishi ~Tunaishia💔
.. Leo ni Weekend nenda na mpenzi wako sehemu mkaenjoy, sio kila siku unashinda humu x mpenzi wako wanamfaidi watu wengine😅💔🫵🏽
Huna demu winga Huna demu muuza bando Huna demu muuza viwanja Huna demu muuza pombe kali Huna demu alieajiliwa government Huna demu daktari Huna demu wa truck driver Huna demu Farmigetor masabuni Huna demu muza misosi madagaa Huna demu mwenye hela Sema mimi ni MAVI 😎
Hawa mabinti wanaocheza juu ya meza huku baa, wataolewa na nani?
USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE