Joti
@JotiOfficial
Tanzania's Comedian
Upanuzi huu ni suluhisho la foleni ambazo ni kero kwa wananchi, hasa nyakati za asubuhi na jioni. #OktobaTunatikiSamia
Mbona kama wana bifu.. wangemalizana tu mtaani 😂😂https://t.co/Xktrrq15tN
Chini ya Mama, kila sekta imeshuhudia mabadiliko yanayogusa maisha ya wananchi. Kupitia mkopo wa boti 160, wananchi 13,180 wamepata ajira. #OktobaTunatikiSamia
Mwanza ya Mama ni neema tupu; ✅ Daraja tumetiki ✅ Boti za uokozi tumetiki. Karibuni tunakwenda kutiki MV Mwanza ambayo ujenzi umefika asilimia 98. Mwanza nao wanasema #OktobaTunatikiSamia.
Amiri Jeshi Mkuu. Kiongozi jasiri na imara. Mamlaka isiyoyumba. #OktobaTunatikiSamia
📍 Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa, Dodoma Mwenyekiti wa CCM, Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza mkutano huo uliofanyika kwa njia ya mtandao ambao umepitisha mabadiliko madogo ya katiba ya chama. #OktobaTunatikiSamia
Chama kinachofanya maamuzi kwa majadiliano na uwazi. Uimara wake ni uimara wa nchi yetu. #OktobaTunatikiSamia
Usipende kuomba ushauri kwenye kila maamuzi unayotaka kufanya kwenye maisha yako. Wakati mwingine fanya maamuzi mwenyewe, jenga kujiamini kuwa unaweza kufanya maamuzi sahihi. Na ikitokea umekosea, ndiyo kujifunza. Ishi na funzo, wakati mwingine hutokosea tena.
😂😂😂
Mtu umesoma nae primary hamjawah onana hata. Gafla anakuunga group la harusi😂😂,kikubwa kumwambia tu mwenye namb hii amefungwa jera, akitoka atakuchangia bas
𝐃𝐈𝐏𝐋𝐎𝐌𝐀𝐒𝐈𝐀 𝐘𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐔𝐌𝐈 𝐈𝐍𝐀𝐓𝐔𝐍𝐔𝐅𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 🇹🇿🇮🇳 Mwaka 2021: TZS trilioni 5.1 🇹🇿🇮🇳 Mwaka 2024: TZS trilioni 20.6 Uboreshaji mazingira ya uwekezaji na ziara za Mama kimataifa vimeendelea kuinufaisha nchi yetu kiuchumi. #OktobaTunatikiSamia
Kizazi Kipya: Kizazi cha Sayansi na Teknolojia Mama anaandaa kizazi kitakachonufaika na fursa za sayansi na teknolojia katika Karne ya 21. #OktobaTunatikiSamia