Mjege Kinyota, PhD ๐น๐ฟ
@k_mjege
Senior Lecturer in STEM Education, University of Dar Es Salaam, DUCE; Full-Time Father, Student, Researcher, consultant & Policy Analyst; Psalm 23
Kwenye andiko letu jipya tunachokoza mada kuhusu elimu ya mazingira nchini na mamna ambavyo vita ya utunzaji wa mazingira inakinzana na dhana yenyewe ya maelendeo tunayoyatamani. Tunajaribu kuuliza maswali magumu (lakini ya msingi)โlengo likiwa ni kuona ni kwa namna ganiโฆ

KIWANJA VIKAWENI - MAPINGA ROAD ๐ฅ Unatafuta kiwanja karibu na barabara kuu, chenye hati miliki, na huduma zote muhimu? โ Sqm 1101 kwa bei nafuu ya 17,000 TSh tu kwa Sqm โ Umbali wa mita 500 kutoka barabara ya Bagamoyo ๐ Tembelea bure site au wasiliana ๐ฒ +255 672 826 826
Walimu tunaweza kununua?
KIWANJA VIKAWENI - MAPINGA ROAD ๐ฅ Unatafuta kiwanja karibu na barabara kuu, chenye hati miliki, na huduma zote muhimu? โ Sqm 1101 kwa bei nafuu ya 17,000 TSh tu kwa Sqm โ Umbali wa mita 500 kutoka barabara ya Bagamoyo ๐ Tembelea bure site au wasiliana ๐ฒ +255 672 826 826
Mtu anajenga msingi na fundi mwingine; anapandisha boma na mwingine; anafunga linta na mwingine; anapaua na mwingine; anafanya finishing na mwingine; anahamia kwenye nyumba na mwingine.
Biashara ya utumwa bado ipo. Ni suala tu la kila mtu kuchunguza ni kwa namna gani anashiriki biashara hiyo. Ikiwa kuna kikundi au watu wanakutumia wewe kutimiza malengo yao, kisha wanakutosa wakishavuka, huu ni utumwa changamfu
Dodoma Kesho Mapema Tu Mambo Ni Moto #NBCMarathon Washiriki Kukimbiza Upepo..!! Na Mbio Zinanoga Zaidi Ukiwa Na #JustFit Sports Gear Uwe Mwepesi. @JustFittz
Unaambiwa wanaokunywa pombe ni ngumu kupiga hatua kimaisha; badae unagundua sio kweli kabisa. Unaambiwa pombe ni dhambi; kisha unagundua walevi wana upendo wa hali ya juu na ni walipa kodi wakubwa. Unaishiwa PAWA.
Wanajua vijana wengi mmehamia barabara ya Morogoro
Ubungo Kibo mdogo mdogo inageuka Keko maana kila hatua kumi kuna workshop watu wanafyatua furniture.
This is big and massive. I look forward to it Professor
My book, LIVING WITH CANCER: DIARIES OF A MULTIPLE MYELOMA PATIENT will be launched Tuesday 29 July 2025 at Four Points by Sheraton (New Africa Hotel). The chief guest will be Hon. Doto Biteko, Deputy Prime Minister and Minister of Energy. You are most welcome. #MultipleMyeloma
Hakuna kitu mwanadamu anafanya kwa Bahati mbaya. Ukiona taasisi au mtu anakushawishi kufanya jambo fulani; jiulize kwanza faida atakazopata yeye, kabla ya kujua faida kwa upande wako. Zingatia โukitaka kula lazima uliwe kidogoโ
Wakati Ndio sasa
Woke up broke? Sleep with dollars in your pocket! @noonesapp is giving away $500 daily in a lucky draw just by trading on their app. ๐ Every trade = one chance to win! ๐ฒ Download now: noones.com ๐ฅ @ray_noOnes #NoOnesAirdrop #BuiltForNoOnes
Tumefanikiwa sana kwenye suala la kukitukuza Kingereza. Ndio mana kila mzazi anatamani mwanae asome shule za Kingereza. Tuko sahihi au tunazidi kupotea?

Nanivunia wewe kuwa sehemu ya watu wangu wa karibu. Tujenge uchumi na mahusiano yetu. Kesho njema kwa vijana inawezekana
Watu ni mtaji bwana ๐๐ผ๐๐ผ
Kazi ya sukari leo ni moja tu, kukusanua mambo mazuri ambayo yapo kwenye jukwaa la Instaprenyua. Tunakusubiri wewe tu, huku mambo yameanza lakini kama upo mbali unaweza kutazama LIVE kwenye ukurasa wetu wa YouTube kwa link hii hapa ๐ youtube.com/live/QTweyZUIiโฆ #instaprenyua2025โฆ
Mazingira kwa wanawake kuongoza bado ni magumu sana kwa sababu za kitamaduni na kasumba. Mfano, wanaume wengi hawapendi kuoa mwanamke mwenye nafasi ya uongozi. Wanahofia kuwa na mtu mwenye โnguvuโ ndani ya nyumba.
Wakati mwingine si kwamba wanawake hawataki kugombea, bali mazingira hayawaruhusu. Je, tumejiuliza sisi kama jamii, vyama na familia, tunachangiaje kuwafanya wajisikie wanaweza? #MwanamkeNiKiongozi #Uchaguzi2025 @TAMWA_Zanzibar
Sasa kwa aina hii ya vijana tutapata katiba mpya?
Tunawapenda Wanaotuumiza Tunawaumiza Wanaotupenda
Utaweza kulala na chatu kitanda kimoja? Muone @anuskills3
Nimechoka Nimechoka Nimechoka Kuanzia sasa Sitasambaza Cvs Maana Ni kama Ndugu Zangu Wamenifanya Msukule...Wao wanatoboa Mimi nipo tu Tukutane Sumbawanga ๐ฅฅ
Hii kubwa sana
Sukari atanogesha Instaprenyua kesho! Ujiandae kwa kuvunja mbavu maana host wetu wa kesho unajua ucheshi wake. Leo ndo mwisho wa usajili, fanya kujisajili crdb.tz/instaprenyua #crdbbank #instaprenyua2025 #tunakusikiliza
Sukari atanogesha Instaprenyua kesho! Ujiandae kwa kuvunja mbavu maana host wetu wa kesho unajua ucheshi wake. Leo ndo mwisho wa usajili, fanya kujisajili crdb.tz/instaprenyua #crdbbank #instaprenyua2025 #tunakusikiliza
Ndugu yangu @Bhalibhonaki ni mtaalamu wa masuala ya kuzuia ukatili na adhabu mbadala. Yeye kanisaidia sana kuelewa haya mambo kwa undani. Naunga mkono ujumbe huu
Bila mabadiliko kwenye sheria zinazowalinda watoto dhidi ya ukatili wa kingono na ndoa za utotoni, SRHR ni ndoto. โขTunataka sheria zinazotoa ulinzi, si urasimu. โขTunataka utekelezaji, si taarifa. #AfyaYetuHakiYetu @TAMWA_Zanzibar