KIPEPE 馃拪
@kipepe123
Social media influencer
Mimi Hata Iwe birthday yako Ukinipa Nafasi ya Kujitambulisha Lazima Niwaambie Watu Nina degree huo ndo Ukweriiiiiii...馃敟
Wakati mwingine si kwamba wanawake hawataki kugombea, bali mazingira hayawaruhusu. Je, tumejiuliza sisi kama jamii, vyama na familia, tunachangiaje kuwafanya wajisikie wanaweza? #MwanamkeNiKiongozi #Uchaguzi2025 @TAMWA_Zanzibar
Kuanzia colosseum hotel mpaka kilimanyege (haile selassie road) kuna shughuli za uholela kama sinza. Jambo hili linapunguza hadhi ya masaki na osterbay kama sehemu ya kifahari.
Sio kila anayepiga kelele anataka madaraka, wengine wanataka haki. Haki ya kugombea, haki ya kuaminika, haki ya kusikilizwa. Leo, siyo kesho, mwanamke anastahili uwanja sawa wa kisiasa na kushindana kwa Haki. #MwanamkeNiKiongozi @TAMWA_Zanzibar
I鈥檓 going to @the_marcoliboy鈥檚 upcoming Space. Will you join too?
Kuna kampuni ya uaminifu kuwazidi.hawa jamaaa Wafolow @lapexproperties Kwa mahitaji ya ardhi
Hii ndo Fahari namba Moja ya @lapexproperties Karibu kwenye Mradi Wetu Mpya 馃敟馃敟
Hii ndo Fahari namba Moja ya @lapexproperties Karibu kwenye Mradi Wetu Mpya 馃敟馃敟
馃敟 Usikose! Jumamosi hii tunaelekea Kigamboni Kijaka kutembelea mradi mpya wa Lapex Properties! Usafiri ni bure kabisa 馃殞馃搷 Jiunge nasi kwa mawasiliano 馃摓 +255 672 826 826. Karibu ujionee fursa za kipekee za umiliki wa ardhi! 馃捈馃彙
Unatamani Kumiliki Kiwanja Wapi Ndani Ya Dar-es-Salaam?
Nimechoka Nimechoka Nimechoka Kuanzia sasa Sitasambaza Cvs Maana Ni kama Ndugu Zangu Wamenifanya Msukule...Wao wanatoboa Mimi nipo tu Tukutane Sumbawanga 馃ゥ
Jukwaa murua la kustamatisha biashara yako hope umeshajisajili tukutane kesho @CRDBBankPlc tule madini,tuelemike na buradani itakuwepo pia.
Leteni hao Chatu
Unaanza kuchanganyikiwa sasa. Utaweza kulala kitanda kimoja na chatu?
Wanawake wakiongea kuhusu afya ya uzazi si aibu ni haki ya msingi: 馃敼 Wana haki ya kuamua lini wapate watoto. 馃敼 Wana haki ya kupata huduma salama. 馃敼 Wana haki ya kusikilizwa. #AfyaYetuHakiYetu @TAMWA_Zanzibar