lapexproperties
@lapexproperties
Certified real estate company deals with real estate activities on fee or contract basis and with own or leased property. We buy and sell properties
JE Wajua ? UKICHAGUA KIWANJA KWENYE RAMANI HII NI HATARI ๐ญ Kama umetumiwa ramani hii ya upimaji kwaajili ya kuchagua kiwanja na kampuni au mtu basi ujue kabisa HICHO KIWANJA HAKIJAPIMWA na HUWEZI KUPATA HATI MILIKI . Bookmark hii itakusaidia siku moja

KIWANJA VIKAWENI - MAPINGA ROAD ๐ฅ Unatafuta kiwanja karibu na barabara kuu, chenye hati miliki, na huduma zote muhimu? โ Sqm 1101 kwa bei nafuu ya 17,000 TSh tu kwa Sqm โ Umbali wa mita 500 kutoka barabara ya Bagamoyo ๐ Tembelea bure site au wasiliana ๐ฒ +255 672 826 826

Hii ndo Fahari namba Moja ya @lapexproperties Karibu kwenye Mradi Wetu Mpya ๐ฅ๐ฅ
๐ฅ MRADI MPYA KIGAMBONI KIJAKA! Kwa Milioni 4.9M tu, unapata kiwanja cha sqm 700 chenye Hati miliki halali kabisa! ๐ Ziara ya site ni kila Jumamosi โ na usafiri ni bure kabisa! ๐ Wasiliana nasi sasa: ๐ฑ +255 672 826 826 ๐ง [emailย protected]
Unatamani Kumiliki Kiwanja Wapi Ndani Ya Dar-es-Salaam?
๐ฅ Usikose! Jumamosi hii tunaelekea Kigamboni Kijaka kutembelea mradi mpya wa Lapex Properties! Usafiri ni bure kabisa ๐๐ Jiunge nasi kwa mawasiliano ๐ +255 672 826 826. Karibu ujionee fursa za kipekee za umiliki wa ardhi! ๐ผ๐ก

๐ฅ MRADI MPYA KIGAMBONI KIJAKA! Kwa Milioni 4.9M unapata kiwanja cha SQM 700 pamoja na HATI MILIKI! ๐ Usafiri wa kutembelea site ni BURE kila Jumamosi! ๐ Wahi sasa kwa mawasiliano: ๐ฑ +255 672 826 826 ๐ง [emailย protected] LAPEX โ Tunaweka ndoto zako kwenye ramani ๐ก

BEACH PLOT MBEWENI MALINDI ๐ Viwanja 2 tu vimesalia! ๐100m kutoka baharini ๐ฐ100,000/sqm ๐Hati miliki tayari ๐ +255 672 826 826 ๐ง [emailย protected]

Mimi ni mpima ardhi,Mshauri na mtaalamu wa masuala ya ardhi kutoka @lapexproperties . Najivunia kuona @lapexproperties kuwa kampuni inayoaminika zaidi kwenye masuala ya ardhi nchini nyuma ya halmashauri zetu(serikali) licha ya kuwa sekta ya ardhi ina changamoto nyingi.๐ช๐ฟ ๐ช๐ฟ.
๐Kiwanja chako kimepangwa kwa matumizi gani? Tutumie live location ya kiwanja chako kwa simu, tutakuambia matumizi yake rasmi โ iwe ni makazi, biashara au vingine. Gharama ni nafuu sana! ๐ +255 672 826 826 ๐ง [emailย protected] Karibu Lapex!

Hati Miliki ndiyo uthibitisho pekee wa umiliki halali wa ardhi kama huna hati basi tambua sheria haikutambui kama mmiliki wa kiwanja hicho @lapexproperties tunakusaidia kupata Hati Miliki kwa haraka na gharama ni nafuu kabisa Karibu sana

Kwa milioni 3.5 tu unamiliki kiwanja Kigamboni! Viwanja vimepimwa na unapata Hati Miliki baada ya malipo. Usikose nafasi hii ya kipekee kutoka Lapex Properties! @lapexproperties

Ni Dalili gani zingine zinaashiria Utapeli? Tuambie hapa ili tusaidie kuepukana na Utapeli kwenye Ardhi


Pale Unapoamuangalia Mteja Anaeulizia Viwanja Bei Kila Siku Mwaka Wa tatu Anapotea
