Remidius
@mad_genius6
Mad-Genius|Pan-Africanist|HIP-HOP curturelist| Environmentalist|kanyeist|socialist
Nimempata adui wakupambana nae.
The greatest battle of all is with yourself—your weaknesses, your emotions, your lack of resolution in seeing things through to the end. You must declare unceasing war on yourself.
Wakati mwingine kuwa mpinzani wa chama chako ni kuwa mzalendo wa kweli. Kwa sababu uzalendo si kushabikia kila kinachotoka kwa viongozi, bali kukataa uovu kwa jina la haki.
"School, politics, sports, and games train us to compete against others. True rewards - wealth, knowledge, love, fitness, and equanimity - come from ignoring others and improving ourselves." @naval
Good morning Kenyans,I have seen a report that Kenyans are the top global consumers of Chat GPT AI,yet the government isn’t enthusiastic about adoption of AI in different critical sectors like healthcare, education, agriculture etc and making it at the core of its very own…
We should start regulating churches,what is the point of a loudspeaker in a church with 3 members?
Clinical Officers in Kenya win big as the UK opens the door for Kenya’s clinical officers to practice as physician assistants. A step in the right direction.
“People are capable, at any time in their lives, of doing what they dream of.” | Paulo Coelho
Educate the children and it won't be necessary to punish the men. - Pythagoras (c. 570 BC – c. 496 BC)
“Now that she had nothing to lose, she was free.” | Paulo Coelho
Nimesikiliza mahojiano ya Jenerali na Pole Pole, maswali ya Jenerali ni kitu cha waandishi kujifunza. 1- Waandishi wengi wana maswali marefu hadi wanamchanga mhojiwa 2- Waandishi wana “unadhani” sana 3 - Waandishi wana swali moja ndani ya maswali manne. Tujifunze mahojiano.
2pac once said: "I might've lost my way to church but I'II never lose my faith in GOD."
Life is what you do while waiting to DIE , so might as well do a good JOB. -Donald Trump
This gem is 25yrs old, still up & beautiful.. I always tell people that your house should outlive the test of time.
Ukitaka kujua IQ ya mtu, chunguza; -Vitu vinavyomchekesha -Muziki anaosikiliza -Vitabu anavyosoma -Movies anazotazama -Watu anao-engage nao Huwezi kuwa na IQ halafu; -Unachekeshwa na Wadudu -Unasikiliza singeli -Unasoma magazeti -Unatazama tamthilia za Kituruk -UnaSimpia wasimbe
Fursa inapaswa ikukute ukiwa umeshajiandaa....
Mabasi ya Mkurugenzi Shabiby yamekula Tender ya kubrand Timu zinazo shiriki Mashindano ya CHAN, chuma ziko kama sita hivi kama sijakosea. Zote hizo sita au Tano zimekodiwa
Mwanafunzi yeyote mwenye Cheti kilichoandikwa Joyce Ndalichako na saini yake huyo mwanafunzi jina lake linapaswa liandikwe kwa wino wa dhahabu katika Taifa letu.
Usijisikie unyonge pale unapoyatimiza malengo ya mtu huku ukiyafukuzia malengo yako, Yes, kwenye harakati zetu tunacholipwa hakiendani na jitihada tunazoweka, katika hayo yote kubali kujifunza na kukua huku ukitafuta namna ya kuyafikia malengo yako. Leo tena wakuu💯👊
Utofauti kati ya 'kujifanya una IQ' na 'kuwa na IQ' ni uwezo wa kusema 'SIJUI'. Vilaza wanaojifanya wana IQ hua wanataka waonekane wanajua kila kitu.